Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Umeongea point ya msingi sana..... "TUPUNGUZE USASA KWENYE NDOA"Mambo yamebadilika sana...usasa mwingi mno....tukipunguza usasa(utandawaz) ndoa zitakuwa na ahueni
Maisha ya mitandaoni, mwanamke akiwa pia anajua kuingiza mia mbili ktk genge lake baadhi yao wanakuwa wajeuri sana, wanawake wengi wa sasa kubishana na mwanamme hawaoni kama ni shida.Mambo yamebadilika sana...usasa mwingi mno....tukipunguza usasa(utandawaz) ndoa zitakuwa na ahueni
Yeah....utandawazi...na ndivyo tulivyoMaisha ya mitandaoni, mwanamke akiwa pia anajua kuingiza mia mbili ktk genge lake baadhi yao wanakuwa wajeuri sana, wanawake wengi wa sasa kubishana na mwanamme hawaoni kama ni shida.