Kama hujawahi kabisa kuagiza mzigo kutoka China ni bora kuazia Kariakoo au Nairobi Kenya

Mkuu naomba tuwasiliane tufanye kazi pamoja. Huu uzoefu wako ni pesa. Ninafanya kazi na Wajasiriamali na wafanyabiashara wengi tunaweza kuunganisha nguvu pamoja kuwasaidia na kuoitia kuwasaidia sisi pia tukapata kitu.
 
Sorry nimechelewa kuona comment yako nimekutumia namb yangu pm utanicheki
 
Uzi mzuri sana. Mimi nataka kuanza biashara ya nguo za watoto wakiume na wanaume pia. Naomba msaada tafadhali.
 
HUU UZI UKO POA SANA.
Natamani sana kusoma uzi kama hizi kila siku kutoka JF.
Sas inabidi utupe mfano tangible kabsa. Mfano, utuambie (kama mfano tu) aina ya biashara (eg. Simu used pis kadhaa) kwa mtaji flani.
1. Gharama za kusafirisha ni kiasi gani mpaka Tz.
2. Kodi ni kiasi gani kwa China [emoji630]??
3. Kodi kwa upande wa Tz (eg. Exp. levy, VAT, ...)

Ili tuone kama tunaweza kujipima kwa mitaji yetu ya nyanya hii.....
 
Level ya mtaji wako ndio itaamua Kam ni mkubwa sana Nenda nje ila mdogo na Ndio unaza kabisa koma kwaza na bongo
 
Kama kuna mtu atahitaji kuagiza bidhaa kutoka uturuki nipo hapa huku pia kuna vitu vingi vizuri na Og ila wajanja wanachofanya wanakuja kuchukua sample mfano Abaya la kituruki bongo ni laki mbili huku unaweza pata kwa 25 dollars wanapeleka kumanufacture china halafu wanaleta bongo kwa kusema ni turkish.
 
Imekaa vzr
 
Sijaelewa vizuri mi niliwahi kama Mara mbili kuagiza simu China kupitia kikuu namana wanamawakala mpaka hapa napoishi sijawahi pata changamoto Yao yeyote tangu niwajue
 
Kama kuna mtu atahitaji kuagiza bidhaa kutoka uturuki nipo hapa huku pia kuna vitu vingi vizuri na Og ila wajanja wanachofanya wanakuja kuchukua sample mfano Abaya la kituruki bongo ni laki mbili huku unaweza pata kwa 25 dollars wanapeleka kumanufacture china halafu wanaleta bongo kwa kusema ni turkish.
Nipo hapa
 
Back
Top Bottom