Kama hujawahi kabisa kuagiza mzigo kutoka China ni bora kuazia Kariakoo au Nairobi Kenya

Kaka naipataje
 
Njoo katoro, kuna kila aina ya sandals za kike na kiume. Mbali na Kariakoo (Dar) nadhani miji mingine inayouza viatu na nguo kwa bei nzuri ni katoro.....

Ahsante mkuu
 
Njoo katoro, kuna kila aina ya sandals za kike na kiume. Mbali na Kariakoo (Dar) nadhani miji mingine inayouza viatu na nguo kwa bei nzuri ni katoro.....
Wao watu wa katoro wanachukua wapi?
 
Inamana kilo mzigo huchukua miezi mi4 au ilitokea imechelewa ndo inafika miezi mi4
Nimeshangaa apo kwenye kuchukua miezi minne wakati watu mizigo tunapokea baada ya sku 40 Yani mwezi mmja na week apo ilichelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…