Kama hujawahi kushiriki thread hizi basi hujui utamu wa JamiiForums

Gai da seboga

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
515
Reaction score
1,015
Habari Mabibi na Mababu,

Hapa JamiiForums ni sehemu ambayo imekuwa ikitupa maarifa, connection, dili mbalimbali, wachumba, marafiki, ucheshi nk.

Nimefanya kautafiti kadogo nikagunduaa ata uwe mgeni kiasi gani humu jf ila kama hujawahi kusoma au kuchangia baadhi ya nyuzi (thread) fulani humu basi bado hujajua utamu wa JamiiForums. Nyuzi hizo ni kama ifuatavyo;

1. Vituko mtandaoni

2. Wa mwisho ndio mshindi

3. JF usiku wa Manane

4. Na kulikuwa na ule wa kula tunda kimasikhara

Unaweza ongezea thread nyingine hapa ambayo km hujawahi kushiriki au ata kuisoma tu basi wewe hujui utamu wa JamiiForums
 
Mimi Binafsi sijawahi kufatilia hizo Thread na aina ya hizo !
Huwa nadhani hizo Fridge ni za Vijana wenye Mawazo flani n'a tabia flani.

Siamini kama mtu mzima mwenye maadili anaweza kupoteza muda wake eti kwenye Thread ya "Wa mwisho ni Mshindi " (mchezo tulichezaga utotoni)
 
Ata uwe mtu mzima kiasi gan, kuna wakat maisha hayaitaj u seriously sn inabid jokes na ucheshi vi take place.
 
Mimi Binafsi sijawahi kufatilia hizo Thread na aina ya hizo !
Huwa nadhani hizo Fridge ni za Vijana wenye Mawazo flani n'a tabia flani.

Siamini kama mtu mzima mwenye maadili anaweza kupoteza muda wake eti kwenye Thread ya "Wa mwisho ni Mshindi " (mchezo tulichezaga utotoni)
Hauna umri huo hata wazee wanacheza tu
 
KUNA UZI UNAITWA, "WIMBO GANI UNAUTAFUTA SANA BILA KUUPATA" NAHISI ULE NAO UNAFUATILIWA SANA.
 
Back
Top Bottom