Kama hujawahi kushiriki thread hizi basi hujui utamu wa JamiiForums

Habari Mabibi na Mababu,

Hapa JamiiForums ni sehemu ambayo imekuwa ikitupa maarifa, connection, dili mbalimbali, wachumba, marafiki, ucheshi nk.

Nimefanya kautafiti kadogo nikagunduaa ata uwe mgeni kiasi gani humu jf ila kama hujawahi kusoma au kuchangia baadhi ya nyuzi (thread) fulani humu basi bado hujajua utamu wa JamiiForums. Nyuzi hizo ni kama ifuatavyo;

1. Vituko mtandaoni

2. Wa mwisho ndio mshindi

3. JF usiku wa Manane

4. Na kulikuwa na ule wa kula tunda kimasikhara

Unaweza ongezea thread nyingine hapa ambayo km hujawahi kushiriki au ata kuisoma tu basi wewe hujui utamu wa JamiiForums
Kuna thread za wanawake wenye tyako....
nadhani hiyo ndio funga kazi na thread ya beer
 
Kuna ule Uzi wa picha za warembo niliingia kwa bahati mbaya kusoma soma tu aisee kule ndo niliona watu jinsi walivyo bahati nzuri nikagutuka usingizini kumbe nilikosea thread aisee nikasepa taratibu huku nikisitasita
 
Mimi Binafsi sijawahi kufatilia hizo Thread na aina ya hizo !
Huwa nadhani hizo Fridge ni za Vijana wenye Mawazo flani n'a tabia flani.

Siamini kama mtu mzima mwenye maadili anaweza kupoteza muda wake eti kwenye Thread ya "Wa mwisho ni Mshindi " (mchezo tulichezaga utotoni)
Hahahahaaaa kweli mkuu. Mimi hata sijawahi kujua mantiki ya threads kama zile aisee
 
Habari Mabibi na Mababu,

Hapa JamiiForums ni sehemu ambayo imekuwa ikitupa maarifa, connection, dili mbalimbali, wachumba, marafiki, ucheshi nk.

Nimefanya kautafiti kadogo nikagunduaa ata uwe mgeni kiasi gani humu jf ila kama hujawahi kusoma au kuchangia baadhi ya nyuzi (thread) fulani humu basi bado hujajua utamu wa JamiiForums. Nyuzi hizo ni kama ifuatavyo;

1. Vituko mtandaoni

2. Wa mwisho ndio mshindi

3. JF usiku wa Manane

4. Na kulikuwa na ule wa kula tunda kimasikhara

Unaweza ongezea thread nyingine hapa ambayo km hujawahi kushiriki au ata kuisoma tu basi wewe hujui utamu wa JamiiForums
biashara za badoo
 
Kuna ule Uzi wa picha za warembo niliingia kwa bahati mbaya kusoma soma tu aisee kule ndo niliona watu jinsi walivyo bahati nzuri nikagutuka usingizini kumbe nilikosea thread aisee nikasepa taratibu huku nikisitasita
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom