Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Hv kuna uzi weny views na replies nying kupita huu humu JF?gango2 said:thread ya kupeana likes
Nlzisahau mkuuu [emoji109]Kama hujaorodhesha hizi mbili basi hujatenda haki!
Makapuku forum
Thread ya kupeana likes
Hatari na nusuUkitaka ufaidi ingia Uzi wa Man u au Chelsea kabla ya mechi ..halafu itokee wamefungwa urudi huo uzi tena...utapata burudani sana
Sidhani ule n babkubwaa...Hv kuna uzi weny views na replies nying kupita huu humu JF?
Ata uwe mtu mzima kiasi gan, kuna wakat maisha hayaitaj u seriously sn inabid jokes na ucheshi vi take place.Mimi Binafsi sijawahi kufatilia hizo Thread na aina ya hizo !
Huwa nadhani hizo Fridge ni za Vijana wenye Mawazo flani n'a tabia flani.
Siamini kama mtu mzima mwenye maadili anaweza kupoteza muda wake eti kwenye Thread ya "Wa mwisho ni Mshindi " (mchezo tulichezaga utotoni)
Hauna umri huo hata wazee wanacheza tuMimi Binafsi sijawahi kufatilia hizo Thread na aina ya hizo !
Huwa nadhani hizo Fridge ni za Vijana wenye Mawazo flani n'a tabia flani.
Siamini kama mtu mzima mwenye maadili anaweza kupoteza muda wake eti kwenye Thread ya "Wa mwisho ni Mshindi " (mchezo tulichezaga utotoni)
Sidhani. Huo uzi ni mrefu sanaHv kuna uzi weny views na replies nying kupita huu humu JF?