Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

Kama hujawahi kutaja neno "mkuu" hapa JF njoo uchukue million

Nipewe hiyo ela nisepe
Yani we jamaa hauko serious
IMG_20201121_092913.jpeg
 
Yangu hiyo nitumie Kwa no. 0622 narudi kumaliza no. nasubiri ushahidi
 
Jamaa yupo full prepared yaani anakuwekea kiscreenshot mwenyewe ujionee unakuta ulishatumia hilo neno hata ukasahau... waweza dhani ametengeneza!!!
 
Back
Top Bottom