Kama hujui English unaweza kutongoza kweli?

hahahahahah lol
umenichekesha..
halafu hayo maneno yote yanaonekana uwongo mtakatifu lol

Hamna uwongo tena unayasema ukiwa umepiga goti moja huku ukiwa umeshikilia ua ulilolipulizia perfume ili ajue kweli unafikiri atakataa lol!!!!!!!!!!!
 
Hamna uwongo tena unayasema ukiwa umepiga goti moja huku ukiwa umeshikilia ua ulilolipulizia perfume ili ajue kweli unafikiri atakataa lol!!!!!!!!!!!

mmmmmhhh
usinifanye ni sahau kuhusu hizo paper hahhahahah lol
 
Hahaha! Kwa hiyo alivyorusha kombora, hapo hapo akakubaliwa na mambo ya kutesti kama ni mtambo au kabamia yakaanza? Hapa najua siwezi gongewa senksi. Najua kabisa! Labda baadhi ya wapwa.
Mhh!! iantaka kuendana na ile ya kusukuma Mlevi kwenye slope ya infinity ..
 
Hazitoki zile piga au

hahahah lol
haya bwana mie nasinzia sana..
ngoja nilale..

ingekuwa hatugombani kuhusu hizo paper ningekupa maneno
mataamu ya kumalizia nayo siku..
lakini mmmhh siihangaishi..

hahahah lol
 
Mambo ya mtandao na umix mix wa ma culture ndio tatizo....sikuhizi maduu hata kilugha hawataki kujua.....yani ni english kwenda mbele ili na chat ipande...c unajua msomi nini!!!
Sasa ilikupata huyo doo wa kibongo ki ukei inabidi uwe na mipesa ka ya samaki ua migodi, wanasahauu kingereza na kilugha kinaanza!!🙂
 
ha ha ha ndio yeye jina lake tofauti na mashairi yake, umesema tayari una TF maana yake nini?

Mimi nilimpataga my wife wangu mwenyewe kwa kumwandikia mistari ya hardcore hip hop 🙂

Kama hii?

I'll lay down my jacket so you can walk over a puddle

Lie together, cry together, I swear to God I hope we f**king die together

When I dream of fairy tales I think of meeting you; see you're my type of hype and I can't stand when brothers tell me
 

mmmhh
nime kukubali
ngoja niku derect mahali ambapo haya yanaendelea kwa wingi..
director na producer akiwa si mwingine bali Nguli Jabali..
kutamu sana huko mkuu
https://www.jamiiforums.com/sports-an...ml#post1537257

hapo ndo kuna wataalum wa haya mambo..
all the best have fun..
 
Kiswahili ngumu bana,you know whats up how you doin shawty, do you feel me, can i have your number so that me and you can hook sometime you know i love a down to earth chick like you...ha ha ha ha bongo nomaaa mazeee

Aaaa bwana. Unatongoza kama Pimbi tuu.

" Hallo! Leo nimekuota ukiwa ni binti mfalme, mie nilikuwa mjakazi wako, nilikuwa nikikupepea pembezoni mwa bustani na kipepeo kilichoandikwa I LOVE YOU VERY MUCH! Yaani ulivaa gauni mithili ya nailoni, hakika mwili wangu wote ulijaa vipele vya ubaridi kwa jinsi maungo yako yalivyonisisimua, hasa hapo kifuani unanichanganya".
 
Ndio maana wabongo kwenye midahalo migumu kama ya uchumi ni wachapiaji sana wa kidhungu. Tatizo hatujui kidhungu ila hii ya swaga tuu.
 
Japo n ya ktambo saana, ila nmeipenda nmeamua kui update tena.
 


Mkuu duh hapo mlimani City acha....mie hata siendagi tena maana michosho tu....nilimwambia mmoja just jot my digits...nikaona mtoto anaangalia chini....nilifanya maksudi tu kuona...aliingia mitini
 
Mawazo mgando!!
 
Mnaongelea kingereza nimesikia kucheka. Kuna sehemu UK sitaji jina ila nilitembelea for a week nikakutana na wabongo kibao, nadhani wamezamia sina uhakika. Mmoja akanambia dada hapa nimeshakaa miaka kumi lakini sijuhi kiingereza kwa kuwa kuna watanzania wengi kama manzese hadi asubuhi kuna sehemu tunaenda kununua vitumbua tunaongea kiswahili tu na mimi ukizingatia shule sikwenda. Nilicheka sana.
 
Yalimkuta huyu

 
Last edited by a moderator:
Nguli hujambo? ?

AD mzima weye lakini? Mbona sms na calls zimekata tena au kwa sababu kithungu changu cha kuunga? Na mengi ya kukwambia hebu ring basi tuchonge...number sijabadili na kama umeifuta.......
 
AD mzima weye lakini? Mbona sms na calls zimekata tena au kwa sababu kithungu changu cha kuunga? Na mengi ya kukwambia hebu ring basi tuchonge...number sijabadili na kama umeifuta.......

hahahahahah lohh
Maguu unafujo weye

mi mzima kabisa dear
we hujambo lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…