Kama hujui English usiende kutibiwa The Aga Khan Hospital DSM bila mkalimani,utaumbuka!

Kama hujui English usiende kutibiwa The Aga Khan Hospital DSM bila mkalimani,utaumbuka!

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo fulani la kiafya.
Baada ya kuzunguka hospitali nyingi bila nafuu,mwananzengo akaniambia niende Aga Khan.
Kufika pale nskutana na specialist mwenye asili ya kiasia hajui kiswahili,nilijiuliza sana ingekueaje kama ningekuwa sijui kujieleza kiufasaha kwa lugha ya malkia??
Ila nashukutu nilipona ugonjwa wangu kupitia huyo Doctor asiyejua kiswahili
 
Back
Top Bottom