Kama hujui kiingereza tumia tu kiswahili

Kitu amabacho nimejifunza kwenye haya maisha ni kuto ku Judge mtu. Tumepata bahati ya kusoma sio wote walipata huko nyuma, ukiona ipo ivyo jua ni maximum kwake.

Wewe kitu ulicho paswa kufanya ni ku i-correct iyo sentence (kutoa hizo spelling errors
na grammar) alafu ukamtumia private ili a-update iyo about yake, Sio kukimbilia hapa JF kufungua thread na kumpiga majungu
 
technically na uhakika hiyo ni typing error tu kama hujui tofauti ya four na for hutaweza andika neno beauty.
Yes kuna hili neno linaitwa yake smartphone hua ina-pick take kwa hio ukiandika kwa haraka unakuta ime-pick take kumbe ulikua unataka kuandika yake hii hua inanitokea sana ila kwa hio four ni nadra sana mkuu hata hio play sio rahisi kihivyo

Yaan uandike pray ije play au uandike for ije four hio sio rahisi km unavyochukulia, alieandika anajua kingereza cha ugoko tu hajui kitu ndio tafasiri yake, smartphone nyingi zimeundwa na mfumo wa kingereza hushindwa ku-pick maneno ya kishwahili sababu ina dictionary ya kingereza ipo embedded hadi uanze ku-add maneno ya kiswahili ili yapate kutambuliwa kwa urahisi
 
Kinachokuuma nini hapo bila shaka una stress sana kama mimi ila mimi za kukosa kipato wewe za husda na wivu huyo jamaa inaonekana yupo sana akilini mwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…