Kama hujui kiingereza tumia tu kiswahili

Kama hujui kiingereza tumia tu kiswahili

Leo watu wanaugomvi na waongeaji wa lugha ya malkia
 
Wewe jamaa uliondika huu uzi ni mshamba na unaonekana ni mkudaa
 
Hiki nini?! ๐Ÿ˜‚

Mbere = Mbele

Mfano: matembele sio matembere


Hivi ni nini hiki?! ๐Ÿ˜‚

Halafu = Alafu

Walimu Wana kazi ngumu sana wapandishwe madaraja na waongezewe mishahara kwa kweli daah, ๐Ÿ˜‚
Neno sahihi ni "halafu".

Unajua matumizi ya alama ya sawa sawa?
 
Hiki nini?! [emoji23]

Mbere = Mbele

Mfano: matembele sio matembere


Hivi ni nini hiki?! [emoji23]

Halafu = Alafu

Walimu Wana kazi ngumu sana wapandishwe madaraja na waongezewe mishahara kwa kweli daah, [emoji23]
Kwa hiyo wewe umefundishwa ALAFU ndiyo sahihi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu, mbereee ndo nini? Si bora mwenzako hajui kingereza cha watu kuliko wewe ambaye hujui kiswahili cha nchi yako! Shwain[emoji35]
 
Back
Top Bottom