Kama hujui kiingereza tumia tu kiswahili

Leo watu wanaugomvi na waongeaji wa lugha ya malkia
 
Wewe jamaa uliondika huu uzi ni mshamba na unaonekana ni mkudaa
 
Hiki nini?! πŸ˜‚

Mbere = Mbele

Mfano: matembele sio matembere


Hivi ni nini hiki?! πŸ˜‚

Halafu = Alafu

Walimu Wana kazi ngumu sana wapandishwe madaraja na waongezewe mishahara kwa kweli daah, πŸ˜‚
Neno sahihi ni "halafu".

Unajua matumizi ya alama ya sawa sawa?
 
Hiki nini?! [emoji23]

Mbere = Mbele

Mfano: matembele sio matembere


Hivi ni nini hiki?! [emoji23]

Halafu = Alafu

Walimu Wana kazi ngumu sana wapandishwe madaraja na waongezewe mishahara kwa kweli daah, [emoji23]
Kwa hiyo wewe umefundishwa ALAFU ndiyo sahihi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu, mbereee ndo nini? Si bora mwenzako hajui kingereza cha watu kuliko wewe ambaye hujui kiswahili cha nchi yako! Shwain[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…