Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Hahahaha...kama vile mtu na shangazi yake

Hapo bado utaskia huko mvua inanyesha?
 
Mimi sizani kama ni PM tu hata huku whatsapp, fb mambo ni hayo hayo!!!

NB: Si kwamba huyo mtu hana madini, ni kwamba demu ana mtu wake na hana interest na jamaa!! ukiona hivyo angalia kushoto kulia alafu vuka barabara kwa speed kubwa kabisa!!! mara nyingi hao watu wakipigwa chini wanarudi tena kwa hao walio wakataa guess what is happen, storry inamgeukia tena demu!!
Kitaa huku.
Yupo duuh mmoja, kanipa namba, tunawasapiana na kupigiana simu kama kawa.

Kila nikiomba meeting, anakubali lkn muda ukifika full excuses.

Nikaona isiwe tabu, UKUPIGAO NDIO UKUFUNZAO! nikajiweka pembeni, 100% silent, nikadelete na namba ili nisije kumpigia kwa bht mby.

Kuna siku kanipigia, nikamuuliza weee nani, dizaini ilimuuma now wiki ya pili ana kazi ya kujichekesha chekesha!
 
Hata madada nao baadhi wana hizo kero, unakuwa anataka jambo flani atazunguka weeee na vijisalam uchwara.....duuuuhhh....hadi keroooo.,.
 
Back
Top Bottom