Ujakutanaaa na damuyakoo uliezaliwa naee amelala hapoo utaniambia kama ujaita rubber ama bolt wweeMimi nimeapa hata nikute mtu kapigwa kalala hapo ama kafa sitoi taarifa polisi napita na zangu mtu unaacha kufanya mambo yako unashikiliwa uisaidie polisi na usishangae ukakaa ndani kidogo baadae unaachiwa huna hatia!
MkuuMimi nimeapa hata nikute mtu kapigwa kalala hapo ama kafa sitoi taarifa polisi napita na zangu mtu unaacha kufanya mambo yako unashikiliwa uisaidie polisi na usishangae ukakaa ndani kidogo baadae unaachiwa huna hatia!
Damu nzito kuliko maji kwa ajili ya damu yangu nipo tayari kwa lolote sio mtu tu nimkute huko wema wangu unitokee puani naongea kwa hasira sababu nishashuhudia mtu unamdondokea msala hata hajui lolote alikuwa anasaidia tu!Ujakutanaaa na damuyakoo uliezaliwa naee amelala hapoo utaniambia kama ujaita rubber ama bolt wwee
Za upinzani zinakuwaga za mda mfupi tu. WanaangaliagaAchana na mambo ya kwenye muvi. Katika maisha halisi kesi za mahakamani zinachukua muda mkubwa. Kesi ya kuchukua muda mdogo hakuna.
Kazi ya mahakama ni kuhukumu without reasonable doubt. Msisitizo hapo kwenye 'Reasonable Doubt' kuharakisha kukizalisha doubts matokeo yake ni mtu kutotendewa haki.
Kuna Discovery, Preliminay hearings, kuuwasilisha ushahidi kwa jaji na mawakili, ukikataliwa mnaanza moja...
Jamani mambo mengine ni kwenye muvi tu.
Mimi na wewe hatutaelewana ikiwa hapa tuna kesi ya mauaji ila wewe reference yako ni kesi za wapinzani. Hata kama tukiamua kukubali rejea yako...Za upinzani zinakuwaga za mda mfupi tu. Wanaangaliaga