Mkuu kwa jinsi titanic ilivyo halafu muangalie wawili mhuuu nawasi wasiHahaha
Noo sja kuharibia mkuu, sisi tulikuwa twataka kuangalia titanic tu pamoja.
Ila usijali
My is Khan,kuch kuch hota hai
mohabbat
dhoom
pyaar impossible
najna
najin
krishna
My name is Khan
kal ho naho
Devdas
om shant om
koyla na nyingine nyingi za Kihindi
The hard way-bonge la movie,Bila kusahau the last platoon na the hardway
Hiyo Blue umejiwekeaThe God must Crazy
Hii stori Ya jamaa kusoma na JET LI ilizagaa sana enz hizo mkuu nyakat zimeondoka zileMarc Dacascos nilimkubali kwenye Drive, anapiga mkono balaa, mpaka tulikua tunasema kasoma chuo kimoja na jet li
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mond ile c movie tu jmn kwani kuna tatizo gani kuangalia wawili[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mkuu kwa jinsi titanic ilivyo halafu muangalie wawili mhuuu nawasi wasi
Hahaha
Noo sja kuharibia mkuu, sisi tulikuwa twataka kuangalia titanic tu pamoja.
Ila usijali
Zile scene za ndani ya gari na kuchorana zinanitia mashaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mond ile c movie tu jmn kwani kuna tatizo gani kuangalia wawili[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Na pale ndo mwanzo wa halftime maana kupause ni lazma kwa scene [emoji4] [emoji4] [emoji4]Zile scene za ndani ya gari na kuchorana zinanitia mashaka
Nawevi ujueNa pale ndo mwanzo wa halftime maana kupause ni lazma kwa scene [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Basi basi nimekoma [emoji18] [emoji18]jna nimeangaliaje movie kwa sim yaani axnte,sema memory ndogo nimeshindwa kuzipakua!!Nawevi ujue
Nimeiona hiyo movie jina ninesahaukuna muvi moja nimeisahau jina ila ni zamani sana..
ni ya kijesh flan jamaa (mjeda) na mke wake walitekwa,ndugu yake mmoja ambaye nae mjeda akachukua kikosi na kwenda huko kambi ya majambazi ipo beach hiv kumuokoa kaka yake
moja ya matukio ninayo kumbuka
1.mjeda anafika katika geti la kuingia kambi ya maadui bila mlinzi kumuona.akiwa pembeni kidogo ya dirisha la kibanda cha mlinzi anatoa sarafu anzidondosha chini ,mlinzi kwa kiwewe akajua amedondosha pesa zake akatoa kichwa pale dirishani achungulie nje kule ulipotokea mlio sa sarafu.....alikula bonge moja la ngumiiiii...
2.afu nyingine aliteka godoro ukutani aklifunika shuka afu kwa chini akaweka viatu vyake(ikawa inaonekana kama kuna mtu amejificha ndani ya shuka hivi) jambazi kajipendekeza na kisu chake eti kwenda kulichoma lile godolo,kumbe mjeda yupo nyuma yake mlangoni....akammaliza pale palepale then akamkalia maiti na kuvaa viatu vyake akasepa....inaitwa je vileeeeee?????????
Mkuu unechanganya au mm kumbukumbu zangu haziko sawavan dame la msalaban..(cyborg)....van dame milasta(hard target)..dame anatoroka jeshini(P.O.W)...na kitu cha DUSK DOWN(from the dusk til down a.k.a santamigo pandamunionon
Shukrani kipenz eehBasi basi nimekoma [emoji18] [emoji18]jna nimeangaliaje movie kwa sim yaani axnte,sema memory ndogo nimeshindwa kuzipakua!!
muvie moja...mkandala huyo yule mwanamke shetani alimuita santamigo pandamunionionMkuu unechanganya au mm kumbukumbu zangu haziko sawa
Dusk down na Santi amigo pandamunio ni movie mbili tofauti
Poapoamuvie moja...mkandala huyo yule mwanamke shetani alimuita santamigo pandamunionion