Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Double team.
Dong yi.
Best of the best.
Lucky seven.
Russian ninja.
Undisputed boyoka.
American special forces.
Missing in action.
King of kickboxing.
Mafia vs ninja.
Drunken master.
Universal solder,
Ongbank.
Tekken.
Rambo.
X-men.
Avengers.
Thor.
I robot.
Kung-fu hustler.
King of beggars.
Dragon tiger gate.
Double impact.
The one.
Expendable.
Red eagle.
 
kuch kuch hota hai
mohabbat
dhoom
pyaar impossible
najna
najin
krishna
My name is Khan
kal ho naho
Devdas
om shant om
koyla na nyingine nyingi za Kihindi
My is Khan,
Kal hona ho,
Krishna Mbona si za mda sana aisee.
Btw Unapenda sana Bollywood movies..?

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Bila kusahau the last platoon na the hardway
The hard way-bonge la movie,

Msanii Nash mc aliwahi kumuimbia mistari moja ya wasanii maarufu (Nigga).
Anakwambia
"Mc usijiite nigga,nigga kashaliwa na Mamba"
 
Mkuu kwa jinsi titanic ilivyo halafu muangalie wawili mhuuu nawasi wasi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mond ile c movie tu jmn kwani kuna tatizo gani kuangalia wawili[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahaha
Noo sja kuharibia mkuu, sisi tulikuwa twataka kuangalia titanic tu pamoja.
Ila usijali
 
kuna muvi moja nimeisahau jina ila ni zamani sana..
ni ya kijesh flan jamaa (mjeda) na mke wake walitekwa,ndugu yake mmoja ambaye nae mjeda akachukua kikosi na kwenda huko kambi ya majambazi ipo beach hiv kumuokoa kaka yake

moja ya matukio ninayo kumbuka
1.mjeda anafika katika geti la kuingia kambi ya maadui bila mlinzi kumuona.akiwa pembeni kidogo ya dirisha la kibanda cha mlinzi anatoa sarafu anzidondosha chini ,mlinzi kwa kiwewe akajua amedondosha pesa zake akatoa kichwa pale dirishani achungulie nje kule ulipotokea mlio sa sarafu.....alikula bonge moja la ngumiiiii...
2.afu nyingine aliteka godoro ukutani aklifunika shuka afu kwa chini akaweka viatu vyake(ikawa inaonekana kama kuna mtu amejificha ndani ya shuka hivi) jambazi kajipendekeza na kisu chake eti kwenda kulichoma lile godolo,kumbe mjeda yupo nyuma yake mlangoni....akammaliza pale palepale then akamkalia maiti na kuvaa viatu vyake akasepa....inaitwa je vileeeeee?????????
Nimeiona hiyo movie jina ninesahau
 
van dame la msalaban..(cyborg)....van dame milasta(hard target)..dame anatoroka jeshini(P.O.W)...na kitu cha DUSK DOWN(from the dusk til down a.k.a santamigo pandamunionon
Mkuu unechanganya au mm kumbukumbu zangu haziko sawa
Dusk down na Santi amigo pandamunio ni movie mbili tofauti
 
Mkuu unechanganya au mm kumbukumbu zangu haziko sawa
Dusk down na Santi amigo pandamunio ni movie mbili tofauti
muvie moja...mkandala huyo yule mwanamke shetani alimuita santamigo pandamunionion
 
Back
Top Bottom