Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

kuna muvi moja nimeisahau jina ila ni zamani sana..
ni ya kijesh flan jamaa (mjeda) na mke wake walitekwa,ndugu yake mmoja ambaye nae mjeda akachukua kikosi na kwenda huko kambi ya majambazi ipo beach hiv kumuokoa kaka yake

moja ya matukio ninayo kumbuka
1.mjeda anafika katika geti la kuingia kambi ya maadui bila mlinzi kumuona.akiwa pembeni kidogo ya dirisha la kibanda cha mlinzi anatoa sarafu anzidondosha chini ,mlinzi kwa kiwewe akajua amedondosha pesa zake akatoa kichwa pale dirishani achungulie nje kule ulipotokea mlio sa sarafu.....alikula bonge moja la ngumiiiii...
2.afu nyingine aliteka godoro ukutani aklifunika shuka afu kwa chini akaweka viatu vyake(ikawa inaonekana kama kuna mtu amejificha ndani ya shuka hivi) jambazi kajipendekeza na kisu chake eti kwenda kulichoma lile godolo,kumbe mjeda yupo nyuma yake mlangoni....akammaliza pale palepale then akamkalia maiti na kuvaa viatu vyake akasepa....inaitwa je vileeeeee?????????
 
Ninja hunter-Alexander Lou.

Mafia vs Ninja,Ninja squared.

Incredible kungfu mission.

No retreat No surrender 2'

Ta-ich-Jet Lee.

Koyla- Shah rukh Khan.

Striker Commando-Frank zagarino.

Safari-Bongo movie.

Dunia hadaa ulimwengu shujaa-Bongo movie.
 
Jason's Lyric
Juice
New Jack City
Life
Coming to America
Set it Off
My Cousin Vinny
12 Angry Men
Mocking Bird
Philadelphia
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha saaana, eti the life of Daud
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jirani hiyo ni movie ambayo hakuna mtanzania haja icheki.
Imeprimere juz juz tu ila imepata waangaliaj kibao
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jirani hiyo ni movie ambayo hakuna mtanzania haja icheki.
Imeprimere juz juz tu ila imepata waangaliaj kibao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hii movie ya imevunja record!!!
 
Hahahahaaa
Candy, ulipotelea wap?
Au ndio ulienda Koromije kuchekia Movie huko huko!? I micd u
[emoji23] [emoji23] npo my sema huwa napita kimya kimya nsbr hii movie ya bashite iishe mana hmna thread mpya,nikiingia mmu ndo balaa ukutane na hyu hr666 na jimmy hdi uvivu kucomment [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Colombiana!
Ninja Assassin!
Agneepath!
___Halafu baada ya hapo nacheka sana!
Kubwa jinga (Mr Bean)
 
Tears of the sun-Bruce Willis daaah hii movie sijawahi kuichoka asee
 

Attachments

  • onesheet.jpg
    26.8 KB · Views: 37
  • Tears-Of-The-Sun-Expanded-Score-cover.jpg
    164.8 KB · Views: 43
Mohra
Voshwatma
Koyla
Delwale
Vijay Path
 
[emoji23] [emoji23] npo my sema huwa napita kimya kimya nsbr hii movie ya bashite iishe mana hmna thread mpya,nikiingia mmu ndo balaa ukutane na hyu hr666 na jimmy hdi uvivu kucomment [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hahahhahaha
Usjal
Uwe una pita pita bhana nikikuona humu nafarijika sana
Mimi hii movie ya Bashite niko mstari wa mbele kuicheki, sitoki siondoki
 
Hahahhahaha
Usjal
Uwe una pita pita bhana nikikuona humu nafarijika sana
Mimi hii movie ya Bashite niko mstari wa mbele kuicheki, sitoki siondoki
Nakumic pia my,hii ni zaidi ya isidingo haiishi hdi inaboa,narud wngu mdogomdogo!!hvi unaipenda movie ya gods must be crazy!??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…