StoneOliver
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 111
- 60
A.W.O.L (Absent without leave)van damme anatoroka jeshini, embu iweke vizuri ,inaitwaje kwa lugha ya malkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A.W.O.L (Absent without leave)van damme anatoroka jeshini, embu iweke vizuri ,inaitwaje kwa lugha ya malkia
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha saaana, eti the life of DaudHahahaa
Halafu jiraniiiiii naona umekuja kivingine sasa hivi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ha ha ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha saaana, eti the life of Daud
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hii movie ya imevunja record!!![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Jirani hiyo ni movie ambayo hakuna mtanzania haja icheki.
Imeprimere juz juz tu ila imepata waangaliaj kibao
Hahahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hii movie ya imevunja record!!!
[emoji23] [emoji23] npo my sema huwa napita kimya kimya nsbr hii movie ya bashite iishe mana hmna thread mpya,nikiingia mmu ndo balaa ukutane na hyu hr666 na jimmy hdi uvivu kucomment [emoji57] [emoji57] [emoji57]Hahahahaaa
Candy, ulipotelea wap?
Au ndio ulienda Koromije kuchekia Movie huko huko!? I micd u
Unaimani sana kama mimi kumbe!Mkanda wa Yesu
√√Daaa..! huu mkanda yani nililia nilivyoangalia sijui Ina nn hii sinema, wakati huwa naangaliaaga movie zenye huzuni lakin silii
van damme anatoroka jeshini, embu iweke vizuri ,inaitwaje kwa lugha ya malkia
Hahahhahaha[emoji23] [emoji23] npo my sema huwa napita kimya kimya nsbr hii movie ya bashite iishe mana hmna thread mpya,nikiingia mmu ndo balaa ukutane na hyu hr666 na jimmy hdi uvivu kucomment [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nakumic pia my,hii ni zaidi ya isidingo haiishi hdi inaboa,narud wngu mdogomdogo!!hvi unaipenda movie ya gods must be crazy!??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhahaha
Usjal
Uwe una pita pita bhana nikikuona humu nafarijika sana
Mimi hii movie ya Bashite niko mstari wa mbele kuicheki, sitoki siondoki