Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Yes Mkuu,
Hii movie ni chuma cha moto , yule dogo wa Maputo kwa pikiki ni Yeun Biao jamaa yupo vizuri na kachezea movie nyingi sana.
Lakini Sammo hung huyu 'big' huwa ananifurahisha sana pamoja na unene wote lakini anagawa Mkong'oto (kibano) cha hali ya Juu.
Hakuna combination nzur kama Jack chan, somo hung na yeun biao lazima udate
 
Huyu Jamaa wa Taekwondo bwana (Lou/liu/low) alikuwa anapenda mno hizi mambo, Miaka ya 1980's movie nyingi zilikuwa zinafichacha haya mambo ila yeye aliweka wazi kabisa.
Nilipata kutazama movie zake nyingi sana.
Kuna movie fkani hv hua zinarushwa chanel ya MGM za miaka ya 60 mpaka90 wanaonyesha kabisa
 
FILAMU ZIMEPOTEZA MVUTO AU WATU NDO WAMEELIMIKA BAADA YA UONGO KUKITHIRI KWENYE FILAMU?
Mimi naweza kusema utandawazi umechangia kwa kiasi kikubwa watu kufahamu/kutambua mambo mengi.katika Filamu watu wengi hasa wa ulimwengu wa tatu(third world countries) tulikuwa hatuna elimu zaiidi ya Filamu hivyo tulikuwa tunachukilia kama ni uhalisia kumbe ni maigizo tu.

Filamu ya JESUS CHRIST Kuna watu waliamini kuwa yule bwana aliyecheza/chukua uhusika ndiye Jesus.
 
Yes Mkuu,
Hii movie ni chuma cha moto , yule dogo wa Maputo kwa pikiki ni Yeun Biao jamaa yupo vizuri na kachezea movie nyingi sana.
Lakini Sammo hung huyu 'big' huwa ananifurahisha sana pamoja na unene wote lakini anagawa Mkong'oto (kibano) cha hali ya Juu.
Hahaha,nimekuelewa sana mkuu, huyo big namkubali yaan ni mwepesi mwisho wa kazi.Pamoja sana bosi!!
 
Hii kitu ni bonge moja la chuma asee!!
Huwa namuelewa sana yule dogo ambae alikuwa na pikipiki hivi lina maputo meeengiii pamoja,na big anayeonekana hapo kwenye attachement yako hapo asee na bila kumsahau general wa nchi walokuwa wamekwenda,yule dingi alikuwa anapiga mkono aseee,hahah!!!
Itabidi nikaifukue kwenye chimbo langu siku niitizame tena mkuu.
Unaikumbuka vyema mkuu. Big up
 
Wewe mtoto wa juzi, filamu zingine ulizoweka zimetoka juzi tu
 
watu weweeeee
Nmeziona nying cna lkn komando kachup napenda kuirudia cna na ya rambo
 
Back
Top Bottom