Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Hakuna combination nzur kama Jack chan, somo hung na yeun biao lazima udate
 
Huyu Jamaa wa Taekwondo bwana (Lou/liu/low) alikuwa anapenda mno hizi mambo, Miaka ya 1980's movie nyingi zilikuwa zinafichacha haya mambo ila yeye aliweka wazi kabisa.
Nilipata kutazama movie zake nyingi sana.
Kuna movie fkani hv hua zinarushwa chanel ya MGM za miaka ya 60 mpaka90 wanaonyesha kabisa
 
FILAMU ZIMEPOTEZA MVUTO AU WATU NDO WAMEELIMIKA BAADA YA UONGO KUKITHIRI KWENYE FILAMU?
Mimi naweza kusema utandawazi umechangia kwa kiasi kikubwa watu kufahamu/kutambua mambo mengi.katika Filamu watu wengi hasa wa ulimwengu wa tatu(third world countries) tulikuwa hatuna elimu zaiidi ya Filamu hivyo tulikuwa tunachukilia kama ni uhalisia kumbe ni maigizo tu.

Filamu ya JESUS CHRIST Kuna watu waliamini kuwa yule bwana aliyecheza/chukua uhusika ndiye Jesus.
 
Hahaha,nimekuelewa sana mkuu, huyo big namkubali yaan ni mwepesi mwisho wa kazi.Pamoja sana bosi!!
 
Unaikumbuka vyema mkuu. Big up
 
Wewe mtoto wa juzi, filamu zingine ulizoweka zimetoka juzi tu
 
watu weweeeee
Nmeziona nying cna lkn komando kachup napenda kuirudia cna na ya rambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…