Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Hizi je
Spartacus:God of Alena
Spartacus: Blood and sand
Spartacus: Vengeance
Spartacus: War of Damn
Shurisheti na Ajey (Sunir kisheti)
Mond hzi movie hpana cio kwa kuchinjana kule dah,alafu wanafanya matusi kma mbwa [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Thanks Candy nakuaminia
Sanaaa, kina bush men hao nawakubali [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Umenikumbusha mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu kuna mr bone unaijua hii,yaani nanilivyo mgonjwa wa kucheka ndo movie Zangu hzi!!!
 
Candy hayo ndio mambo yangu ujue ila sex scene siziend napenda wanavyo chinjana, ubabe midume imeshiba.. Hizo zote ninazo kwenye pc hua hazinichoshi kwa kweli.
Spartacus
Ganicus
Crixus
Batiatus
Oenemnus
Dominus
Nasirry
Etc
RIP
Anddy
Mond hzi movie hpana cio kwa kuchinjana kule dah,alafu wanafanya matusi kma mbwa [emoji57] [emoji57]
 
Mkanda wa Yesu

√√Daaa..! huu mkanda yani nililia nilivyoangalia sijui Ina nn hii sinema, wakati huwa naangaliaaga movie zenye huzuni lakin silii
Basi angalia "The Passion of the Christ". Sidhani kama utarudia kuiangalia.
 
Tears of the sun-Bruce Willis daaah hii movie sijawahi kuichoka asee
Mkuu katika movie huwa nazielewa na ntaishi miaka yooote kuzielewa hii ni moja wapo,humu ndani jamaa waliigiza mkuu ni hatari.
Shukrani sana mkuu umenikumbusha wacha jioni nije niicheki kwa mara nyingine tena.
 
Candy hayo ndio mambo yangu ujue ila sex scene siziend napenda wanavyo chinjana, ubabe midume imeshiba.. Hizo zote ninazo kwenye pc hua hazinichoshi kwa kweli.
Spartacus
Ganicus
Crixus
Batiatus
Oenemnus
Dominus
Nasirry
Etc
RIP
Anddy
Mmh we kidume kweli mi zile movie niliangaliga kimachale sana cio kwa unyama ule,ila vdume vimeshiba cio mchezo nilickia ni waitaliano cjui kma ni kweli!!
 
KAMA HUKUWAI KUANGALIA HIZI MOVIE Tia mgomo uzaliwe upya.
1: TITANIC. 2: KING KONG 3: ANACONDA. 4: JUMONG. 5: AMERICAN NINJA 6: DELTA FORCE 7: TARZAN. 8: DOUBLE IMPACT. 9: TERMINATOR 10: AIR FORCE 11: KICK BOXER. 12: COBRA. 13: GOD MUST BE CRAZY. 14: ABOVE THE LAW 15: APOCALYPTO. 16: SPARTACUS 17: MKANDA WA YESU. 18: SOLDIER BOYS 19: TAI CHII. 20: SARAFINA. 21: CINDERELLA 22: JANEE by anord. 23: KUCHI KUCHI. 24: LUCKY 7. 25: COMMANDO KIPENSI. 26: FAST & FURIOUS 27: DRAGON. 28: SHUMILETA. 29: NSYUKA. 30: AKI NA UKWA [emoji3][emoji3]

Endelezea

29,28,30,16,15,26,4 hizo hazikupaswa kuchanganywa na hizo nyingine maana hizi za juzi tu.
 
MOVIES ZA LEON SCHUSTER aka Mr Bones
  • You must be jookig
  • You must be joking too
  • Ooh!! Schuck here come UNTANG
  • Ohhh!! Schuck am Guatavor
  • Schuck Tshabalala Fifa guide
  • Mama jack
  • Ohhh shuch!! Am Schuster
  • Sweet n short
  • Oooh!! Schuck your country need you
  • Millennia menic
  • Mr bones
  • Mr bones2
  • Mad buddies
  • Yankee Zulu
  • Hebutafuta hizo muvi aiseee utazipenda balaaa naamini Afrika tunaweza ... Kuna mtu hajaona yoyote kati ya hizi..
 
Back
Top Bottom