toroka uje mjini
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,584
- 2,111
-Kipa anabadilika muda wa penati,Kipa ni yeyote kati ya wachezaji
Mwenye mpira akiitwa kwao na kabumbu limeishia hapo
Timu yenye jeba lazima icheze pungufu mf 11 kwa 9
Watakao fungwa kwanza wanavua tshirt ili kutofautisha wachezji wa team
Umenikumbusha mbaliMwenye mpira kama ana kazi lazima mumsaidie ili kazi ikiisha mapema muende uwanjani.
Tena kiatu atachochagua yeyeKama mpira sio wako Alafu umevaa viatu inabidi uvue au kiatu kimoja umpe mwenyewe mpira.....avae.
Unaweza pia kucheza kipa na ndani,na mpira unadaka kokote hata nje ya 18Kipa ni yeyote kati ya wachezaji