Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wa chato eh?
Maana yake ni kukaa kitandani na kuongeaongea kikawaida.😀😀😀Nini maana ya elimu bure?
Huyo huyo😀😀😀😀Jamaa yupi? Au
Uyo dereva wa phonex ?🤣😂
Ahahahaaaa ,natupia salamu pale za rambirambi kwa malima ndelema ,namwambia tukumbukane kupitia CRDBMaana yake ni kukaa kitandani na kuongeaongea kikawaida.😀😀😀
Ni mwaka wa tatu naangalia video ya jamaa ila sijawahi kujua hili aisee😀😀Wakuu, huyo jamaa yuko timamu? Au alivaa uhusika tu??
Pozi la kimakini sana....😀😀😀😀Alivyopoz hapo utasema zimeenea😂😂