Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
wanaume tuna mitihani mikubwa, ningelijua nisingelioa maana mabandiko kama haya yanatia kinyaa na kuua stimu ya kuoa.
Usisikitike kaka lakini huruma zetu ziko kwa Bwana Abdul. Baada ya miaka 31 mtoto anaetumia ubin wako unapata taarifa kupitia redioni kuwa si wakwako.wanaume tuna mitihani mikubwa, ningelijua nisingelioa maana mabandiko kama haya yanatia kinyaa na kuua stimu ya kuoa.
Aisee, anastahili pongezi.Jamaaa aliwasaidia kupata tuzo hakielimu huyo japo sikumbuki ni tuzo gani.
Kumbe๐๐๐Huyu jamaa yupo Masasi mtwara...ni chenga flani hivi..daah[emoji28][emoji28][emoji28].
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Elimu bure maana yake...utotoni ukacheze shuleni ili uje kusoma uzeeniNini maana ya elimu bure?
Jamaa alitisha alionyesha mana halisi ya elimu buree
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
African life is unorganized.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Maana yake ni kukaa kitandani na kuongeaongea kikawaida.[emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe yupo Mtwara[emoji3]Huyu jamaa yupo Masasi mtwara...ni chenga flani hivi..daah[emoji28][emoji28][emoji28].
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kuna watu ni chenga,ila huyu jamaa noma Sana๐ ๐ ๐ ๐๐ELIMU BURE ,"taafaakari tiiime".