Kama Humtaki Muache Aende Usimsumbue

Kapenda kwa moyo wote tena alimpata huyu baada ya kurudi kutoka Mbeya tu kaka akaonyesha kujali kumsahaulisha bwana ake sasa hivi wanaoana.
Hallelujah,. Hapo ndipo napozidi kuamini kuwa Mungu wetu anaishi,.maumivu ni ya muda tuu,.. Mungu akambariki jamanii yeye na mumewe,.[emoji122][emoji122]
 

Hii mbona ni mada ya MMU! Mbona umeileta Chit-Chat?

Anywho, if the story is true, dude did her dirty.

Miss lady is well within her rights to feel hard done-by.

Commiserations are in order.
 

mjifunze kusoma minds za watu, Watanzania si watu wa kusikiliza kauli zao, ila kusoma matendo yao....
 
How can you read someone’s mind????

Very simple, matendo ya mtu (SIYO ANAYOSEMA), yanaongozwa na hisia, akili, na actions zake, all these things are readable, ni kwamba tu Dada zetu wanakuwaga desperate, it is very simple kumjua mtu ambaye hayupo loyal kwenye mahusiano, mimi ninaweza kuandalia Questionare ukijibu vizuri honestly naweza kutafsiri status ya mme/mke/mchumba etc na ikawa correct
 
Hii mbona ni mada ya MMU! Mbona umeileta Chit-Chat?

Anywho, if the story is true, dude did her dirty.

Miss lady is well within her rights to feel hard done-by.

Commiserations are in order.
Halafu kweli nimekosea jukwaa [emoji23][emoji23]. Mods watanisaidia kuirudisha panapotakiwa
 

That’s not mind reading, though.

It’s observation.

Two different things.
 
Mkifanyiwa nyie mnalalamika ila mmesahau kwamba na nyie natufanyia hivyo sema tunauchuna tu!!

Alafu hao wote bado ni wajinga pamoja na elimu zao...

We mwanamke unakaaje na mtu alafu ushindwe kusoma alama za nyakati?

Na wewe mvulana kwann umsumbue mtu alafu uzime simu??

Hawa wote bado ni wana akili za kitoto, hawajakua!!

NB: huyo msichangekua mdogo angu ningemzaba makofi baada ya kurudi safari.
 
Sawa
 
Labda uyo dada alikua anambania papuchi kipindi wapo chuoni...
 
Naomba hiyo questionnaire nione
 
Haya bwana, sio uchawi wala uganga, but waweza jua what's someone is up to na ukaamua, kwa mfano: Kama mtu ana mke na mtoto sio raisi kupokea simu saa 5,6,7 usiku kwa kumstukisha???? things like that!

That’s not mind reading.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…