Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hallelujah,. Hapo ndipo napozidi kuamini kuwa Mungu wetu anaishi,.maumivu ni ya muda tuu,.. Mungu akambariki jamanii yeye na mumewe,.[emoji122][emoji122]Kapenda kwa moyo wote tena alimpata huyu baada ya kurudi kutoka Mbeya tu kaka akaonyesha kujali kumsahaulisha bwana ake sasa hivi wanaoana.
Kuna dada alikua na bf wake wakati wapo chuoni. Bf akamaliza kabla yake akapata kazi Njombe wakati huyo dada yuko chuo Mbeya. Kaka hakuwahi kumpa hata 500 ya vocha na anafanya kazi. Dada wa watu akavumilia tu labda atabadilika. Dada akamaliza chuo akapata kazi Arusha. Siku akaomba ruhusa kazini ili aende akamsalimie mpenzi wake Njombe. Mpenzi wake akamuelekeza basi la kupanda kabisa akishuka stand ampigie ampokee. Anakaribia kufika yule kaka akazima simu. Amefika Njombe ikabidi atafute hotel alale. Akawa anafanya mchezo wa kumtafuta mpenzi wake kwenye simu. Mara apatikane hapokei mara hapatikani. Siku ya tatu baada ya kufika akapata namba ya dada ake yule kijana ndo kumpa ukweli wote kuwa kijana ana mwanamke na mtoto anaishi nao aondoke tu na amsahau huyo mwanaume. Akarudi zake Arusha na kilio juu maskini.
Sasa kama alikua hamtaki kwanini kampotezea muda wake na gharama za kukaa hotel wakati angemwambia tu live dada wa watu ajiongeze.

mjifunze kusoma minds za watu, Watanzania si watu wa kusikiliza kauli zao, ila kusoma matendo yao....
[emoji23][emoji23][emoji23]Ameen mama mchungaji
How can you read someone’s mind????
Halafu kweli nimekosea jukwaa [emoji23][emoji23]. Mods watanisaidia kuirudisha panapotakiwaHii mbona ni mada ya MMU! Mbona umeileta Chit-Chat?
Anywho, if the story is true, dude did her dirty.
Miss lady is well within her rights to feel hard done-by.
Commiserations are in order.
Very simple, matendo ya mtu (SIYO ANAYOSEMA), yanaongozwa na hisia, akili, na actions zake, all these things are readable, ni kwamba tu Dada zetu wanakuwaga desperate, it is very simple kumjua mtu ambaye hayupo loyal kwenye mahusiano, mimi ninaweza kuandalia Questionare ukijibu vizuri honestly naweza kutafsiri status ya mme/mke/mchumba etc na ikawa correct
Maneno ya uongo tu tunaambiana
That’s not mind reading, though.
It’s observation.
Two different things.
SawaMkifanyiwa nyie mnalalamika ila mmesahau kwamba na nyie natufanyia hivyo sema tunauchuna tu!!
Alafu hao wote bado ni wajinga pamoja na elimu zao...
We mwanamke unakaaje na mtu alafu ushindwe kusoma alama za nyakati?
Na wewe mvulana kwann umsumbue mtu alafu uzime simu??
Hawa wote bado ni wana akili za kitoto, hawajakua!!
NB: huyo msichangekua mdogo angu ningemzaba makofi baada ya kurudi safari.
Naomba hiyo questionnaire nioneVery simple, matendo ya mtu (SIYO ANAYOSEMA), yanaongozwa na hisia, akili, na actions zake, all these things are readable, ni kwamba tu Dada zetu wanakuwaga desperate, it is very simple kumjua mtu ambaye hayupo loyal kwenye mahusiano, mimi ninaweza kuandalia Questionare ukijibu vizuri honestly naweza kutafsiri status ya mme/mke/mchumba etc na ikawa correct
Haya bwana, sio uchawi wala uganga, but waweza jua what's someone is up to na ukaamua, kwa mfano: Kama mtu ana mke na mtoto sio raisi kupokea simu saa 5,6,7 usiku kwa kumstukisha???? things like that!
That’s not mind reading.