Kama Humtaki Muache Aende Usimsumbue

Kama Humtaki Muache Aende Usimsumbue

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Kuna dada alikua na bf wake wakati wapo chuoni. Bf akamaliza kabla yake akapata kazi Njombe wakati huyo dada yuko chuo Mbeya. Kaka hakuwahi kumpa hata 500 ya vocha na anafanya kazi. Dada wa watu akavumilia tu labda atabadilika. Dada akamaliza chuo akapata kazi Arusha. Siku akaomba ruhusa kazini ili aende akamsalimie mpenzi wake Njombe. Mpenzi wake akamuelekeza basi la kupanda kabisa akishuka stand ampigie ampokee. Anakaribia kufika yule kaka akazima simu. Amefika Njombe ikabidi atafute hotel alale. Akawa anafanya mchezo wa kumtafuta mpenzi wake kwenye simu. Mara apatikane hapokei mara hapatikani. Siku ya tatu baada ya kufika akapata namba ya dada ake yule kijana ndo kumpa ukweli wote kuwa kijana ana mwanamke na mtoto anaishi nao aondoke tu na amsahau huyo mwanaume. Akarudi zake Arusha na kilio juu maskini.
Sasa kama alikua hamtaki kwanini kampotezea muda wake na gharama za kukaa hotel wakati angemwambia tu live dada wa watu ajiongeze.
 
Pole sana kwa huyo dada.
 
Ukisia laana za kujitafutia ndio hizi,..hivi ukimwambia mtu sikutaki utapunguza kilo ngapi??me nawaona washamba viumbe dizaini hii...pole kwa bi shost sasa atapenda kwa akili,.
Shem upo...mbona nyie mnatufanyia hvyo?? Mimi nilishawnda hadi bukoba demu akaingia mitini
 
Nipo shem[emoji23][emoji23]sasa nyie sometimes mnakuwa wabishi tuu,mnajua kabisaa hapa nafosi ila hukubali unajifanya liwalo na liwe
 
Ukisia laana za kujitafutia ndio hizi,..hivi ukimwambia mtu sikutaki utapunguza kilo ngapi??me nawaona washamba viumbe dizaini hii...pole kwa bi shost sasa atapenda kwa akili,.
Kapenda kwa moyo wote tena alimpata huyu baada ya kurudi kutoka Mbeya tu kaka akaonyesha kujali kumsahaulisha bwana ake sasa hivi wanaoana.
 
Back
Top Bottom