Kama Humtaki Muache Aende Usimsumbue

Kama Humtaki Muache Aende Usimsumbue

Hapo. Ndipo binti hujutiaa kwanini aliwakataaa/alimkataaa yule...
 
Wadaka chozi tupoo,kama hiyoo ndoa itayumba tena october ni pm!

Siwezi kuendelea kuona huyoo dada anafanyiwa hivyo!
 
Ukisia laana za kujitafutia ndio hizi,..hivi ukimwambia mtu sikutaki utapunguza kilo ngapi??me nawaona washamba viumbe dizaini hii...pole kwa bi shost sasa atapenda kwa akili,.
kama mimi sikutaki kabisa na ukinisumbua tena PM namwambia mke wangu.

tuma ebu tena pm....


Ujichanganye tu ukomoe uje pm.
 
Kuna dada alikua na bf wake wakati wapo chuoni. Bf akamaliza kabla yake akapata kazi Njombe wakati huyo dada yuko chuo Mbeya. Kaka hakuwahi kumpa hata 500 ya vocha na anafanya kazi. Dada wa watu akavumilia tu labda atabadilika. Dada akamaliza chuo akapata kazi Arusha. Siku akaomba ruhusa kazini ili aende akamsalimie mpenzi wake Njombe. Mpenzi wake akamuelekeza basi la kupanda kabisa akishuka stand ampigie ampokee. Anakaribia kufika yule kaka akazima simu. Amefika Njombe ikabidi atafute hotel alale. Akawa anafanya mchezo wa kumtafuta mpenzi wake kwenye simu. Mara apatikane hapokei mara hapatikani. Siku ya tatu baada ya kufika akapata namba ya dada ake yule kijana ndo kumpa ukweli wote kuwa kijana ana mwanamke na mtoto anaishi nao aondoke tu na amsahau huyo mwanaume. Akarudi zake Arusha na kilio juu maskini.
Sasa kama alikua hamtaki kwanini kampotezea muda wake na gharama za kukaa hotel wakati angemwambia tu live dada wa watu ajiongeze.
Inasikitisha sana
 
MKIFANYIWA nyie mnalalamika... ila mkitufanyia unyama mnaona sawa...

sasa kuna MWENZENU kasomeshwa kuanzia form 4 hadi chuo...kamaliza chuo katafuta bwana mwingine kaolewa nae..
 
Back
Top Bottom