Kama humuelewi Mikel Arteta hujui fooball

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
#trusttheprocess

Msimu wake wa mwisho akiwa kocha wa Manchester United José alipata kichapo kutoka kwa Sevilla na akatupwa nje ya mashindano ya UEFA.

Pamoja na kebehi zake nyingi na majigambo baada ya mechi ile Mourinhol alizungumza kuhusu football HERITAGE!.

Mourinhol alisema ali rithi kikosi kibovu mnoo kutoka kwa kocha wa nyuma yake ambae alikua Luis Van Gaal.

Akatoa mfano wa kikosi alicho kikuta Pep pale Manchester City kua aliwakuta wakina Kelvin De Bruine,David Silva ,Serigio Kun Aguero ,Yaya Toure japo hakumtumia sana wakina Vicenti Company Heritage ya Pep Guadiola pale Manchester City ilikua nzuri ndio maana haiku mchukua mida mrefu kukiweka sawa na kuingiza mifumo yake

Akasema kwake yeye cha maana kilikua alicho kikuta Manchester united ni David De gea tu!...hivyo anatengeneza footaball heritage ili hata akitoka Yeye basi kocha anae fata haita muwia vigumu kukinoa kikosi hicho

Football Heritage ndio msingi wa Clabu yoyote kubwa yenye dhamira ya mafanikio ya muda mrefu
Kua na football heritage kwenye clabu ni lazima kuwa na wachezaji sahihi wenye umri sahihi na haiba sahihi pia ni lazima wawe loyal kwa kocha na clabu!

Ukiitazama Arsenal ya sasa na ile ya kina Papastoporus ni Arsenal mbili tofauti Pengine ile ilikua na matokeo mazuri ila haikua na kesho wala kesho kutwa hii ya sasa inakesho na kesho kutwa!

Anacho kifanya Michel Arteta ni kutengeneza football heritage Pale Arsenal kwa kua wachezaji sahihi kwa maana ya kipaji na uwezo mzuri,umri sahihi kwa maana ya kua na mchezaji wa muda mrefu ndio maana hasajiri mchezaji wa umri zaidi ya miaka 25, Wachezaji wenye utimamu na dhanira pia wenye loyalty na timu hivyo unaweza ukamtegemea

chukulia mfano wa Kelvib De bruine na Pouk Pogba Pogba ni Talented ila sio loyal ila kelvin ni loyal..hii ndio football heritage.

kuna mda utafika ,Ben white,Bukayo saka, Smith Rowe, Tamiasu, Matineli, Partey, Lokonga, Ramsdale na Arteta wataisumbua sana Dunia alafu kwa muda mrefu sana hiyo siku inakuja tuombe uhai!

 
Uzuri wa Arteta uliwahi kuthibitishwa wapi ?
mpira wa saivi ni kocha ana ideas zipi bora za kimbinu na sio lzm mpak aw amethibitisha wap ,mpira umekuw n more of theoretical na ndio maan kun wakurugenz w ufundi.. pep kabla y kuifundisha barcelona il y wakubw alitokea barcelona B lkn mafanikio aliy ipatia barca hkn asieyjua.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Arteta aliwahi kufundisha wapi kabla ya kuja Arsenal
 
Tuombe na liwe hivyo
 
Arsenal ikishinda ni sawa tu na Watford ameshinda. Ile hadhi ya Arsenal imeshuka. Historia tu inatufanya tuamini ukubwa wake.

Ila kama ni hivyo, sijui na sitajua mpira.
 
Acheni kuleta habari za documentary hapa, modern football imebadilika sana siku hizi na ili uende nayo sawa inabidi uwekeze kwenye vitu viwili
1.Good players with high profile
2.Good manager with high technical skills

Ukisema ujenge kikosi ili ukitumie miaka 3 mbele, huo ni uongo utakaa miaka 30 ili ubebe kombe kama kilichowakuta liverkuku na wakaachana na mediocre players and coaches
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…