ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Tujifunze kutokana na huo mtambo unaitwa international space station, upo hapo juu kabisa anga za mbali kama mile mia nne.
Halafu mwingine ANATUMIA vitabu vya dini ETI wanasema hawajawahi kufika mwezini. Kama wameweza hilo kwanini washindwe hilo la kwenda mwezini.
Sayansi jamani ni kanuni, Haina uhusiano na dini. Tusipende kubisha tu, tunatakiwa kujifunza