duh kuwa hakuna atmosphere ?Hoja yako ni dhaifu. Sawa na mtu atupatie picha ya mtumbwi wa wavuvi kisha aseme. Mtumbwi huu upo kilometa kumi kutoka pwani ya mtwala halafu atokee mtu akatae kuwa hakuna wavuvi wanaovua samaki madagaska wakiwa wametoka lindi.
Hizo maili mianane ni chini ya mara mia ikilinganishwa na umbali wa kwenda mwezini. Kutoka hapa mpaka mwezini kama sikosei ni zaidi ya maili 500,000 sasa utalinganishaje na hilo iss ilipo. Siyo kwamba mi naunga mkono wanaokataa binadamu kufika mwezini bali nakukumbusha hoja yako ni dhaifu. Kuna watu walisema mwezini hakuna atmosphere kitu kinachowezesha mjongeo wa hewa. Lakini bendera ya kimarekani ilikuwa inapepea walipofika huko miaka 53 iliyopita na hakuna majibu ya kueleweka waliyoyatoa nasa kuhusu swali hilo
Hoja yako ni dhaifu. Sawa na mtu atupatie picha ya mtumbwi wa wavuvi kisha aseme. Mtumbwi huu upo kilometa kumi kutoka pwani ya mtwala halafu atokee mtu akatae kuwa hakuna wavuvi wanaovua samaki madagaska wakiwa wametoka lindi.
Hizo maili mianane ni chini ya mara mia ikilinganishwa na umbali wa kwenda mwezini. Kutoka hapa mpaka mwezini kama sikosei ni zaidi ya maili 500,000 sasa utalinganishaje na hilo iss ilipo. Siyo kwamba mi naunga mkono wanaokataa binadamu kufika mwezini bali nakukumbusha hoja yako ni dhaifu. Kuna watu walisema mwezini hakuna atmosphere kitu kinachowezesha mjongeo wa hewa. Lakini bendera ya kimarekani ilikuwa inapepea walipofika huko miaka 53 iliyopita na hakuna majibu ya kueleweka waliyoyatoa nasa kuhusu swali hilo
Fuatilia NASA huwa wanatoa updates za lini ISS itapita eneo uliopo. Kama una kiona-mbali unaiona live anganiUnawezaje kuthibitisha kama hiyo picha ni halisi ni sio picha ya kutengeneza?
NB: sipingani na sayansi
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ni kilometa kama 340000 ambazo nikiziwela katika mile nizaidiya laki mbili. Nilikosea ndugu lakini hata hivyo ni kalibia mara 300 kutoka iss inapotembelea
Hii nayo mpya, kwamba ni Dini ndio inapinga watu hawajaenda mwezini? Kama ni Dini inapinga ni ipi? Na nani amepinga?View attachment 2338718View attachment 2338719
Tujifunze kutokana na huo mtambo unaitwa international space station, upo hapo juu kabisa anga za mbali kama mile mia nne.
Halafu mwingine ANATUMIA vitabu vya dini ETI wanasema hawajawahi kufika mwezini. Kama wameweza hilo kwanini washindwe hilo la kwenda mwezini.
Sayansi jamani ni kanuni, Haina uhusiano na dini. Tusipende kubisha tu, tunatakiwa kujifunza