sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
copy paste ila mawazo ya mdau nimeyakubali na nimeona niweke awareness yake humu
Hivi karibuni baadhi ya vyuo vimeanza kukaza viwango vya ufaulu ili kuwachuja zaidi wanafunzi wanaotoka form 6 kuingia degree, katika moja ya vigezo walivyokaza ni kuhitaji aufaulu katika masomo ya hesabu ya form 6 na form 4 ambapo kwa form 4 wanahitaji ufaulu wa "C". baadhi ya vyuo huhitaji ufaulu wa somo la hesabu form 4 na form 6 kwa mpigo, kwa vyuo vingine endapo hujafaulu somo la hesabu form 6 basi tiketi yako iliyobaki ni "C" ya hesabu form 4.
Kwa ushauri wangu, kama huna "C" ya hesabu form 4 nakushauri uende tu kuanza kusomea diploma ya IT chuoni kwa miaka mitatu ndio utumie hicho cheti kukuingiza degree maana huwa hawakagui matokeo ya form 4 hata kama ulikuwa na F ya hesabu.
𝐔𝐧𝐢𝐯𝐞𝐫𝐬𝐢𝐭𝐲 𝐨𝐟 𝐃𝐚𝐫 𝐞𝐬 𝐒𝐚𝐥𝐚𝐚𝐦 (𝐔𝐃𝐒𝐌)
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ᴄᴏᴍᴘᴜᴛᴇʀ ᴇɴɢɪɴᴇᴇʀɪɴɢ ᴀɴᴅ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ᴛᴇᴄʜɴᴏʟᴏɢʏ
🟡 𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗲𝗹𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘀𝗲𝗰𝗼𝗻𝗱𝗮𝗿𝘆 𝗔-𝗟𝗲𝘃𝗲𝗹 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗼𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗼𝗺𝗲𝗮 𝗲𝗹𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘁𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺𝗮 𝗗𝗲𝗴𝗿𝗲𝗲
uwe na "D" mbili za Physics na Advanced mathematics. Kwenye chemistry uwe na minimum ya "S" lasivyo uwe C yake ya form 4. kombi hii ni kwa waliosomE tu pcm, pgm na kombi mpya ya pmc.
🟢𝗪𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗲𝗹𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘁𝗮𝗮𝗹𝘂𝗺𝗮 𝗻𝗴𝗮𝘇𝗶 𝘆𝗮 𝗗𝗶𝗽𝗹𝗼𝗺𝗮 (𝗡𝗧𝗔 𝟲) 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗼𝗲𝗻𝗱𝗲𝗹𝗲𝗮 𝗗𝗲𝗴𝗿𝗲𝗲 (𝗡𝗧𝗔 𝟴)
bila kujali ufaulu wako wa form 4, uwe na minimum gpa ya 3.5 na uwe umesomea diploma hizi >> Sciences, ICT, Computer Science, Electronics au Laboratory Technology
𝐔𝐧𝐢𝐯𝐞𝐫𝐬𝐢𝐭𝐲 𝐨𝐟 𝐃𝐨𝐝𝐨𝐦𝐚 (𝐔𝐃𝐎𝐌)
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ꜱʏꜱᴛᴇᴍꜱ

D ya advanced mathematics na nyingine iwe aidha ya Physics, Geography, Chemistry, Biology au Computer Science. lama kombi hainaAdvanced math ni lazima uwe na minimum ya "S" kwenye bam.

bila kujali ufaulu wako wa form 4, uwe na minimum gpa ya 3.0 na uwe umesomea diploma hizi >> Information Technology, Information Communication Technology, Computer Engineering, Computer Science, Electronics, Software Engineering, Information Technology Management, GIS and Remote Sensing, Computer Business au Telecommunication Engineering
𝐌𝐳𝐮𝐦𝐛𝐞
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ᴀɴᴅ ᴄᴏᴍᴍᴜɴɪᴄᴀᴛɪᴏɴ ᴛᴇᴄʜɴᴏʟᴏɢʏ ᴡɪᴛʜ ᴍᴀɴᴀɢᴇᴍᴇɴᴛ
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ᴛᴇᴄʜɴᴏʟᴏɢʏ ᴀɴᴅ ꜱʏꜱᴛᴇᴍꜱ
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ᴀɴᴅ ᴄᴏᴍᴍᴜɴɪᴄᴀᴛɪᴏɴ ᴛᴇᴄʜɴᴏʟᴏɢʏ ᴡɪᴛʜ ʙᴜꜱɪɴᴇꜱꜱ

uwe na minimum pass ya "D" mbili na "S" moja kwenye kombi yoyote lakini kama kombi ina Advanced mathematics inabidi uwe na minimum ya "D" lasivyo uwe na "S" yake pamoja na "C" ya hesabu form 4.., kwa waliosoma Bam ni lazima wawe na minimum ya "S" pamoja na "C" ya hesabu form 4 ...

bila kujali ufaulu wako wa form 4, uwe na minimum gpa ya 3.0 na uwe umesomea diploma hizi >> Computer Science, Computer Engineering, Information and Communication Technology, Telecommunication Engineering au Electronics
𝐈𝐅𝐌
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ᴛᴇᴄʜɴᴏʟᴏɢʏ

uwe na "D" mbili kwenye Physics, chemistry, biology, advanced mathematics, agriculture, computer science au nutrition. Ni lazima uwe na minimum ya "D" kwenye Advanced mathematics au "S" kwenye Bam, endapo huna inabidi uwe na "C" ya hesabu form 4. … Kozi hii ni kwa wale waliosomea tu kombi za science

bila kujali ufaulu wako wa form 4, uwe na minimum gpa ya 3.0 na uwe umesomea diploma hizi >> ICT, Computer Science, Information Systems, Software Engineering, Business Informatics, Computer Engineering au Telecommunication Engineering .
𝐔𝐧𝐢𝐯𝐞𝐫𝐬𝐢𝐭𝐲 𝐨𝐟 𝐃𝐚𝐫 𝐞𝐬 𝐒𝐚𝐥𝐚𝐚𝐦 (𝐔𝐃𝐒𝐌)
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ʙᴜꜱɪɴᴇꜱꜱ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ᴛᴇᴄʜɴᴏʟᴏɢʏ

uwe na D mbili za Advanced Mathematics, Physics, Chemistry, Biology, au Economics…. kwa kombi ambazo hazina Advanced Math ni lazima wawe na minimum ya "C" ya hesabu form 4

Uwe na "D" ya hesabu form 4, uwe na minimum gpa ya 3.5 na uwe umesomea diploma hizi >> Mathematics, Statistics, Economics, Computer Science, Information Technology, Computer Engineering, Electronics or Telecommunication Engineering, Assistant Medical Officer au Nursing Officer
𝐀𝐫𝐝𝐡𝐢
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ꜱʏꜱᴛᴇᴍꜱ ᴍᴀɴᴀɢᴇᴍᴇɴᴛ

uwe na minimum pass ya "D" mbili kwenye Advanced mathematics, physics, geography, biology, chemistry, economics au computer science. minimum ya "S" inahitajika kwenye Advanced mathematics au Bam, endapo huna inabidi uwe na minimum ya "C" ya hesabu form 4. … Kozi hii ni kwa wale waliosomea tu kombi za science na egm... Kozi hii ni kwa wale waliosomea tu kombi za pcm, pgm, pmc, pcb, cbg, cbn, cba na egm.

bila kujali ufaulu wako wa form 4, uwe na minimum gpa ya 3.0 na uwe umesomea diploma hizi >> Computer Engineering, Telecommunication Engineering, Electronics Engineering, Information Technology, Computer Science, Computer Networks, Computing and Information Communication, Land Surveying, Geomatics au Land Surveying and Geomatics
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ᴄᴏᴍᴘᴜᴛᴇʀ ꜱʏꜱᴛᴇᴍꜱ ᴀɴᴅ ɴᴇᴛᴡᴏʀᴋꜱ

uwe na minimum pass ya "D" mbili kwenye Advanced mathematics, physics, geography, biology, chemistry, economics au computer science. Ni lazima uwe na minimum ya "D" kwenye Advanced mathematics au "S" kwenye Bam, endapo huna inabidi uwe na "C" ya hesabu form 4. … Kozi hii ni kwa wale waliosomea tu kombi za pcm, pgm, pmc, pcb, cbg, cbn, cba na egm... Kozi hii ni kwa wale waliosomea tu kombi za science na egm.

𝐙𝐚𝐧𝐳𝐢𝐛𝐚𝐫 𝐔𝐧𝐢𝐯𝐞𝐫𝐬𝐢𝐭𝐲
🎓ʙᴀᴄʜᴇʟᴏʀ ᴏꜰ ꜱᴄɪᴇɴᴄᴇ ɪɴ ᴄᴏᴍᴘᴜᴛᴇʀ ᴇɴɢɪɴᴇᴇʀɪɴɢᴀɴᴅ ɪɴꜰᴏʀᴍᴀᴛɪᴏɴ ᴛᴇᴄʜɴᴏʟᴏɢʏ

bila kujali ufaulu wako wa form 4, uwe na minimum gpa ya 3.0 na uwe umesomea diploma hizi >> Electronics, Telecommunication Engineering, Telecommunication Networks, Electrical Engineering, Mathematics, physics, Computer Engineering, Computer Sciences, Aerospace, Bio Medical, science with Education au Information Communication Technology.
.........................................................
Maamuzi ni sehemu kuu sana kwenye maisha yetu hasa katika kuikia ndoto zetu, Wapo wenye ndoto za kuja kusomea IT lakini ndoto hizi zinaweza kupotea kama mvuke hewani endapo usipofanya maamuzi mapema.
#UAMSHO #awareness #Fikra #enlightening #maamuzi #Chuo