Kama huna cha kucomment ni bora upite tu. Kwani umeambiwa ni lazima kutia neno?

Kama huna cha kucomment ni bora upite tu. Kwani umeambiwa ni lazima kutia neno?

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Ifike mahala tujiheshimu kisha tuheshimiane sisi kwa sisi. Mbona tunakuwa na tabia za kimasikini kana kwamba hatumiliki ma Range humu ndani?

Unakuta jitu linaingia M.M.U linakutana na nyuzi za kuzagamuana, linaamua kujaa sumu. Kwa hiyo ulitegemea ukutane na uzi wa report ya C.A.G? Shwain. Bila aibu anacomment, 'nyuzi kama hizi hazinistahili. Kuwa wa kwanza kwenye ignore list yangu'. Halafu unakuta ni mwanaume

Kuna katabia ka kucomment neno 'sawa' au 'sawa sawa' kameibuka, sio kwa kina baba wala kwa kina mama, tutawalima ban. Ni aibu sana kwa mwanamke aliyeolewa kutumia neno 'sawa', ni ishara ya kiburi

Bila kuwasahau wale wanaoreply maneno kama 'joined yesterday'. Hii ni dalili ya umama
 
Back
Top Bottom