Kama huna connection kuna haja ya kwenda kusoma nchi za Asia kwajili ya ajira ?

Kama huna connection kuna haja ya kwenda kusoma nchi za Asia kwajili ya ajira ?

nguvu ya buku

Senior Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
168
Reaction score
549
Nchi za Ulaya na Marekani ukisoma kuna uwezekano uanzie maisha huko huko, Ajira zipo kibao

Unaenda kusoma China, India, Malaysia, Thailand, Indonesia, n.k. halafu hauna connection wakati wenyeji wa huko wanahangaika kutoka waende Marekani na Ulaya.

Unarudi bongo kizaa zaa kinaanza kwenye kuomba ajira, vyuo vingi vya huko maboss hawavijui, Ukiomba ajira mlolongo ni mrefu wa kuhakikisha uhalali wa chuo ulichosoma hadi uende tume ya kusimamia vyuo uoate uthibitisho lakini bado unatiliwa mashaka,
 
Hiki chuo ninachokipiga sijui maboss wanakijua, ila acha nikomae nao tu
 
Back
Top Bottom