Kama huna furaha katika mahusiano yako njia hii itakusaidia

Kama huna furaha katika mahusiano yako njia hii itakusaidia

Huu Uzi utawafanya watu wengi wafariki Dunia mapema maana watakuwa wanavumilia Mambo mazito ambayo yapo nje ya uwezo wao.

Kudharauliwa,kutukanwa, kuchepuka mbele yako na mengine Kama hayo Ni vitendo vigumu ambavyo kamwe havitavumiliwa na mwanaume yeyote katika sayari hii.Ukiona hivyo Basi ujue mtu kasharogwa na kufanywa zezeta au ndondocha.
Silent death with smile Kuna mtu anaoza ndani kwa ndani.
 
Ni sawa mkuu, lakini hayo mambo ya "no contact technique." nitafanya kwa wanawake wa nje tu ambao hamjaoana lakini mke wangu atakaa sawa kidiplomasia kama akishindikana hapo na kuleta za kuleta basi atakaa sawa kibabe na nguvu zote zitatumika. asiniletee ujinga kabisa.

Yaani kama amekubali kuwa mke wangu basi hilo neno "mke wangu" maana yake inamaanisha exactly kama lilivyo, yaani ni literally.
Ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom