Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Itabidi na mimi nianzishe uzi wangu wa ambao tuna gari na nyumba na kazi nzuri lakini hatutaki kuoa na umri unaruhusu
Tushauriane shida iko wapi au ni woga wa majukumu
Hahahahahaha ili uwapate vizuri mweeeeh.....
 
Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.

Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.

Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.

Khaaaa!!
Mimi siyo Caspian ,Konoike wala konokono mambo ya nyumba msinihusishe
 
Back
Top Bottom