Pesa yako unaishia kuvalia tu? Na kuhonga wadada wa JF [emoji16]
Kuna dadakule kwny grp la whtsap kakusifia kwa kuhonga mkuu eti ww huna mkono wa birika kala sana bata go n return za arusha kwa bombadier
Akuu me ukishaanza kujisifia sifia kwangu tegemea dharau za hali ya juu na block ikiwa inakufuata....sipendi wanaume wapenda sifa mieWw huna?
Hahahahahaha ili uwapate vizuri mweeeeh.....Itabidi na mimi nianzishe uzi wangu wa ambao tuna gari na nyumba na kazi nzuri lakini hatutaki kuoa na umri unaruhusu
Tushauriane shida iko wapi au ni woga wa majukumu
Mimi siyo Caspian ,Konoike wala konokono mambo ya nyumba msinihusisheIshakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.
Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.
Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.
Khaaaa!!
Hahahahahaha ili uwapate vizuri mweeeeh.....
Aisee kumbe mpk mna group wa whatsaap nje ya hapa jf?Pesa yako unaishia kuvalia tu? Na kuhonga wadada wa JF [emoji16]
Kuna dadakule kwny grp la whtsap kakusifia kwa kuhonga mkuu eti ww huna mkono wa birika kala sana bata go n return za arusha kwa bombadier
Haya hongera kwa kumiliki hivyo vitu ......wakaguzi ipo siku watatoa ushuhuda hapaWala ndo hali halisi ilivyo
Itabidi na mimi nianzishe uzi wangu wa ambao tuna gari na nyumba na kazi nzuri lakini hatutaki kuoa na umri unaruhusu
Tushauriane shida iko wapi au ni woga wa majukumu
Haya hongera kwa kumiliki hivyo vitu ......wakaguzi ipo siku watatoa ushuhuda hapa
Safi kabisaKwangu sio rahisi kunipata maana sijawahi mpapatikia mwanamke humu na haitakaa itokee
Nipo kama konokono
Mkuu kumbe tupo pamoja?Karibu konyagi mkuu
Nilifikiri ni mimi peke angu mkuunimejaa tele.. hata kistuli sina
Ndio mkuu,Kwamba tuwe wawazi.. Waamue wenyewe sasa sio?
Oouk nimo
Safi sana mangiMi mmoja wao mkuu,