Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Ooh. Sikuelewa basi. Huruma ya nini sasa na wewe Word. Kila mtu na alivyopangiwa ujue na kama juhudi za kutafuta mkwanja zipo vitakuja tu one day.
[emoji5][emoji5] piece of useful information... Yeah vitakuja tu Day unoo. mwelewa wewe nimekupenda bure mtu Mimi..
 
[emoji5][emoji5] piece of useful information... Yeah vitakuja tu Day unoo. mwelewa wewe nimekupenda bure mtu Mimi..
Ndio ilivyo hivyo Word. Ahsante 🙏🙏🙏🙏
 
Sidhani kama ni kujisumbua inawezekana kuipata ya kutosha kufanya vyote hivyo ila ndio kunakuwa hakukosekani visababu vitakavyofanya unalolipanga lisikamilike. Ilimradi tu.
[emoji4][emoji5][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom