Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuoa pisi kali huku huna hela au hela yako ni ya mawazo ni kutafuta magonjwa ya moyo na presha. Kwa sababu zifuatazo:-
- Pisi kali haijui kutumia kuni
- Pisi kali haijui kulima
- Pisi kali haijui kuchumia ng'ombe majani
- Pisi kali haijui kushinda njaa
- Pisi kali haijui kula vyakula vya kawaida
- Pisi kali haijui kutembea kwa miguu
- Pisi kali haijui kutumia magari ya bei nafuu
- Pisi kali haijui kuzaa watoto zaidi ya wawili
- Pisi kali muda wowote inataka kiyoyozi
- Pisi kali haijui kama leo huna hela n.k