Kama huna hela usioe pisi kali

Kama huna hela usioe pisi kali

Nimedandia uzi kabisa Yani hata sielewi maana ya 'pisi kali' comrades tueleweshane hapo definition ya pisi Kali...
 
Nna pisi kali dunia nzima na sina mia..
Alaf humuambi kitu ..
Mshahara wake wenyew unapita kwangu.
So huna point.
Demu akikuelewa akikuridhia imeisha iyo..
Acha kujifariji mkuu, wanawake wapo na siri nyingi sana. Kifupi hakuna pisi kali itakaa na wewe katika mazingira yasiyoeleweka sema kuna mdosi mmoja anapigwa hela ili kukupunguzia wewe majukumu coz unapendwa otherwise iwe pisi ya kawaida tu kama wale matellers wa UBA pale buguruni.
 
Back
Top Bottom