Kama huna hela usiombe namba

Ni kweli kabisa unachokisema, wanawake huwa wanawashobokea wakitegemea watapata pesa na kuishiwa kuliwa bure. Wanachofaidigi ni misosi tu na vyakula wakatai wa kumeet.
Mimi siku hizi nimebinu mbuni mpya ya kushughulika na vitoto vipigaji mizinga. Vikianza stori zao za kuomba sijui hela ya saluni sijui ujinga gani navikaripia naviambia "we, mi sio wa kuombwa vihela vidogo vidogo ivyo, sijui elfu ishirini hamsini.... ukizoea kuniomba tuhela tudogodogo huto kuna siku utakua na shida kubwa utashindwa kuniambia! Ukiwa na shida kuanzia laki tano milioni ndio useme!" Basi vikisikia hivyo vinapanua miguu balaa nachakata papuchi kwa kwenda mbele! Sasa mpaka aje ahitaji laki tano ni lini na atakuja na stori gani kwanza nakua nimeshamtafuna ata nisipompa hanifanyi kitu 😀
 
Hahahahaha hii iko poa sana mkuu kama.mimgekuwa nawafagilia ningetumia hii mbwinu lakini huwaga sipendelei.sana.
 
Au sio[emoji2]
 
ukimpa uhuru ,utapigwa sana hutoamini
 
Wamegoma kuliwa kimasihara?
 
Kamanda kwani wewe umeoa?
 
Nani kakwambia kuwa mjumuisho wako ni kweli? Kamuulize baba yako. Hivi hata rais kama Kambarage akitulia unasema hana fedha juha wewe? Umewahoji wangapi limbukeni wewe usojua lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…