Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Wengi wenu mnakuwaga wachoyo kweli, hela ipo ila unashangaa lijamaa halitoi hata kumi dadeki😂Kwakweli, hela uliyoitolea jasho inaheshima yake bwana siyo ya kugawa hovyo😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wenu mnakuwaga wachoyo kweli, hela ipo ila unashangaa lijamaa halitoi hata kumi dadeki😂Kwakweli, hela uliyoitolea jasho inaheshima yake bwana siyo ya kugawa hovyo😎
😂😂😂Tunaangalia na wakumpa, Kuna wengine Ni level sawa na bure😂😂Wengi wenu mnakuwaga wachoyo kweli, hela ipo ila unashangaa lijamaa halitoi hata kumi dadeki😂
Uzuri wenu mnapenda kuambiwa ukweli na utulivu katika mali zenu (hamtaki mtu aonekane ni mroho wa mali zenu), hampendi kufake, wanawake wengi hii inawashinda, mkijihakikishia Hilo Basi mnatoa Tena pasipo kuombwa😂😂😂Tunaangalia na wakumpa, Kuna wengine Ni level sawa na bure😂😂
Siku hizi kuomba pesa wanaitumia Kama defence, na ukimpa kweli unashangaa umepewa mzigo kiulaini Sana, Ila ndo pesa inakuwa ishaenda na haimaanishi ndo mwisho wa mizingaMkuu hapana aiseee.. Nimetokwa kupigwa zinga la 50K kikoba hapo hata chupi sijaona.. Nikaona sasa Mungu anaaamua kuninyoosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Nikwel mwanamke anaye jimudu maitaji yake muhim huwez kumkuta akigawa hovyo baadhi yao wanakuwa hawaja tulia kutokana na kutokuwa na kipato kizurWapo kaka kuna mademu wakiwa na hela hawanaga time na wanaume kabisa most of times mademu wanahangaika na wanaume sababu ya njaa...
Mwanamke mwenye kipato yeye ndo ana chagua nani wakumpa penz maana hatarajii kutumia mwili wake kupata kitu kwakua ana jimudu yeye Kama yeye, Sasa mwanamke ambaye Hana kipato itamlazim kumkubali mwanaume hata kama ajampenda Ili mradi tu apate anacho kitakaNi kweli kabisa. Wanawake ambao hatuna njaa ya vijisenti vya kula ifike mahara tujue uanauke wetu.
Mtu anakutongoza mbaya zaidi ni mme wa mtu, usimfukuze kwa maneno mabaya. Mungu hapendi. Wewe mwambie hivi:
Nina shida na laki 5 trust me utakuwa umemfukuza kisomi, hawezi kukusumbua tena.
Mungu nakuomba uwabariki wanawake wote ambao hawajapata kazi wapate kazi walipwe mshahara. Wasiwe na shida ndogo ndogo.
Na wanaume tuwape heshima yao. Sio kuwadhalilisha kuwaomba vi vocha mara elfu 50000.ni kuwadhalilisha.
Nawahakikishia mwanamke mwenye ka uwezo ka kula na kujilipia kodi hawezi sumbuliwa na wanaume.
Wanawake msimamo wetu ni ule ule. Mme wa ndoa ndo hachunwi. Walobaki kuchunwa ni lazima.
Tema mate chini. Hakika unasema hutaki hii kitu inazingua dunia!?Honestly I hate mapenzi.
Ungejua wenye hela ndio wagumu kuhonga kuliko sisi masikini.. sisi masikini ndio tunawabeba wanawake sana kwa vi hela vyetu viduchu
Wanawake wanalijua hilo.. kumpata tajiri muhongaji sio kazi ndogo..
Matajiri ama wenye hela waliotafuta wenyewe ni wabahili sana. Maana wanaheshimu hela...
Hii kipigo itakuwa ya kimataifa, iphone 12 tenaNi mwendo wa invoice tuu dressing table ,viatu vya mchuchumio na iPhone 12
Kwa hasra izi ni dhaili kabisa kuwa , huna pesa na una demu mmoja na dem mwenyewe anakuzingu[emoji2]Nani kakwambia kuwa mjumuisho wako ni kweli? Kamuulize baba yako. Hivi hata rais kama Kambarage akitulia unasema hana fedha juha wewe? Umewahoji wangapi limbukeni wewe usojua lolote?
Mkuu kwema??Maskini mwenzenu nipo hapa,hata sipingi baba
nikifkiria tu kutoa mtongozo nawaza madeni ninayodaiwa kwanza
najikuta napiga kifua mara 3 najiambia Kontrola tulizana baba,benki huu mwezi wa mwisho rejesho.
kwema mkuu,mbona nipo chief ni wewe tu hujaweka notification ONMkuu kwema??
Umekuwa kimya sana ndugu yangu.
Ndo hapo sasa mwanamke anataka apewe hela kwanza halafu k baadaye na mwanaume anataka apewe k kwanza halafu baadaye ndiyo atoe pesa mwisho wa siku wanakosa wote.Tena siku hizi wanakuja na gia ya nikopeshe, mimi ndani ya 2days nimeombwa 100k, 30k, 30k, 10k na 7k.. nikawaza hivi hela zote hizi nikiwa natoa kila zinapoombwa itakuwaje?
Kuna muda unawaza mpka kwenda kununua malaya.. wadada wa mjini njaa kali sana, alafu kutoa k wagumu [emoji2][emoji2]
Sema siku hizi nimekuwa bahiri hatari, [emoji2][emoji2] sitoi hela kizembe yan lazima atoe k apewe hela hataki akafie mbele.