rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
- Thread starter
- #101
Aaha boss mbona kufilisika nje nje..Usiogope kuwa ATM wape kimasihara.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaha boss mbona kufilisika nje nje..Usiogope kuwa ATM wape kimasihara.
Nahunga mkono hojaDon't do favors for a woman today and expect to get sexual favors tomorrow. You will fail miserably because they are not wired like that. If you must do such nasty trades, use a cash on delivery model (unalipa mzigo ukiwa njiani).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa kweli.
Ukiona mwanaume malaya jua ana Helaaa. Ukiona mwanaume anajidai katulia na mmoja huyo Masikini mwenzetu yaani.
Yes ni hivyo.Na ukiona demu katulia haangaikina wanaume basi ujue ana hela au nimekosea..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli hapa naona nishakwamaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna ki mwanafunzi kilinipa namba juzi tu kinaomba nikitaftie field. Nikakiambia sina connection sasa kimegeuka kinaniomba hela ya uber kila siku eti kinafuatilia field. Saiz tayar nimekua spokei
Hujakutana na wajanja wee 500k kitu gan bhana wee, utashangaa unaombwa 3000k unabaki kuhaha lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Mimi siku hizi nimebinu mbuni mpya ya kushughulika na vitoto vipigaji mizinga. Vikianza stori zao za kuomba sijui hela ya saluni sijui ujinga gani navikaripia naviambia "we, mi sio wa kuombwa vihela vidogo vidogo ivyo, sijui elfu ishirini hamsini.... ukizoea kuniomba tuhela tudogodogo huto kuna siku utakua na shida kubwa utashindwa kuniambia! Ukiwa na shida kuanzia laki tano milioni ndio useme!" Basi vikisikia hivyo vinapanua miguu balaa nachakata papuchi kwa kwenda mbele! Sasa mpaka aje ahitaji laki tano ni lini na atakuja na stori gani kwanza nakua nimeshamtafuna ata nisipompa hanifanyi kitu [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee hizi chai ni za wapi? Hao wadada unaokuwa nao ni wa umri gani? Mbona kwangu hai ingii akilini kabisa.Ili hii mbinu ifanye kazi ni lazima mwanamke husika awe anaamini kwamba una hela nyingi. Na wewe mwenyewe lazma ujiweke ktk muonekano wa kuaminika. Na wakati unamweleza unakua siriaz kama kweli vile.. hapo utakula mbususu bure mpaka uchoke.
Unamuambia "we siku ukiwa na wazo la biashara unataka mtaji kuanzia milioni kwenda juu niambie" Sasa mpaka apate wazo ni lini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi wenu mnakuwaga wachoyo kweli, hela ipo ila unashangaa lijamaa halitoi hata kumi dadeki[emoji23]
Ukweli mtupu huu.Ni kweli kabisa. Wanawake ambao hatuna njaa ya vijisenti vya kula ifike mahara tujue uanauke wetu.
Mtu anakutongoza mbaya zaidi ni mme wa mtu, usimfukuze kwa maneno mabaya. Mungu hapendi. Wewe mwambie hivi:
Nina shida na laki 5 trust me utakuwa umemfukuza kisomi, hawezi kukusumbua tena.
Mungu nakuomba uwabariki wanawake wote ambao hawajapata kazi wapate kazi walipwe mshahara. Wasiwe na shida ndogo ndogo.
Na wanaume tuwape heshima yao. Sio kuwadhalilisha kuwaomba vi vocha mara elfu 50000.ni kuwadhalilisha.
Nawahakikishia mwanamke mwenye ka uwezo ka kula na kujilipia kodi hawezi sumbuliwa na wanaume.
Wanawake msimamo wetu ni ule ule. Mme wa ndoa ndo hachunwi. Walobaki kuchunwa ni lazima.
Kuna wanawake vilaza tena wenye madegereeee,bora utoe papuchi bure kuliko kuitoa kwa matumaini hewa km hayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee hizi chai ni za wapi? Hao wadada unaokuwa nao ni wa umri gani? Mbona kwangu hai ingii akilini kabisa.
Acha ubakhiri wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii kipigo itakuwa ya kimataifa, iphone 12 tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maskini mwenzenu nipo hapa,hata sipingi baba
nikifkiria tu kutoa mtongozo nawaza madeni ninayodaiwa kwanza
najikuta napiga kifua mara 3 najiambia Kontrola tulizana baba,benki huu mwezi wa mwisho rejesho.
Yaan najaribu ku imagine bado akili inagoma, yaan mwanamke akose akili ya kuomba lak 5 au Mil 1 kweli? Labda wa primary maan hata wa secondary akili hiyo anayo.Kuna wanawake vilaza tena wenye madegereeee,bora utoe papuchi bure kuliko kuitoa kwa matumaini hewa km hayo
Mtu hajala aje kuomba laki 5, ambayo Hana uhakika km atapewa papo hapo!! Anaomba ndogo isiyo leta mashaka kwa anaeombwa, yani Ni pesa rahisi kutoaYaan najaribu ku imagine bado akili inagoma, yaan mwanamke akose akili ya kuomba lak 5 au Mil 1 kweli? Labda wa primary maan hata wa secondary akili hiyo anayo.
Mwanamke wa hivyo hana tofauti na mbuzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda ulivyo mkweliWewe ndo umemwambia ukweli Sasa, sio rahisi kumpata tajiri muhongaji wengi mabahili wa kutupa wana mitihani hao ukiivuka Basi unajilia kiulainiii, ila kuivuka ndo inataka uvumilivu wa hali ya juu sana