Kama huna hela usiombe namba

Unashindwa kuwakopa??? ila ujiandae kwa makofi!!
 
Sipingi
 
Don't do favors for a woman today and expect to get sexual favors tomorrow. You will fail miserably because they are not wired like that. If you must do such nasty trades, use a cash on delivery model (unalipa mzigo ukiwa njiani).
Kiuno kwa kiuno aseee
 
Actually . Ukishapewa namba tegemea siku chache mbele utaombwa pesa au wengine hawana mishipa ya aibu wanaomba hapo hapo
 
Michezo ya ela kwa sasa hapana labda mwakani. !!!!!
shetani kanipitia sijui nilitoaje pesa,..

jana niko mtaani mida ya mchana nimetulia napiga energy drink taratibu huku navuta muda uendee,mara nikaona mtoto mkali kakatiza mbele yangu,sikulaza damu nikasema naye hakuwa mgumu kutoa namba

basi,jion nikamchombeza kidogo akaniomba 5000,stor zikaendelea nikaona isiwe shida nikamtumia wala sikujali kama hela zinatafutwa kesho nayo siku.

naamka asubuhi umeme umeisha naitajika kutoa 5000 ya bill (umeme) na wapangaji wenzangu nikapromise, niingie mtaani nikapambane nitatoa mchana.

hapa nilipo ngoma ni bila bila mpaka muda huu sijapata mkwanja na simu kama zote nimepigiwa,hapa najipanga niende ghetto kagiza giza hivi maana nikienda mapema msala...
 
Mimi ni mtulivu sanaaa..cna helaa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuwa serous mkuu..5k????huyo ni mtoto wa form 2A au??
 
Hahhaahha...

Financial discipline.

Kila kitu lazima kionekane wazi + kiandikwe kuwa hakipo. Hapo hata watoto wakiwa na mazoea ya kuvunja vikombe waanze kunywa chai kupitia bakuli ili wajifunze.
 
niliwahi fanya hii, nipo club moja ya runners, wanakulana hatari. Sasa mm kama member mpya walipotumiwa picha walianza kuja inbobo. Kazi rahisi tu mtu akisema tuonane namwambia niwekee mafuta ya laki moja nakuja, mbona walikimbia wote. Baadae nkaona sitongozwi tena , kuna mmoja ndo akaniambia dada mi unanivutia ila sifa iliyojaa humu club we unapenda sana hela yan wanakuogopa wote. Nkasema saaafi 🀣 🀣 🀣 🀣
 
uzi umekaa kizinifu zinif tuuuuπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Uli join kwenye social media gani yenye club runners,
 
Ila nimekuwa bahili siku hizi maana hela yapatikana kwa tabu
 
Si mchezo mi nilikutana na mmoja nikaomba namba, siku hiyo hiyo nikaombwa 12k, siku ya pili yake nikaombwa 8k na siku ya tatu 5k, ila zote nilimpa bila kinyongo, akapanga mwenyewe siku ya kuja kunipa mbusumbusu, siku ilivyo wadia akaingia mitini nami wala siku mtafuta, mwenyewe baada ya siku mbili akapiga simu analalamika sina mpango nae kwanini siku ile hakutokea lakini hata sikumpigia simu kumlalamikia, mi nikamwambia we ulivyonambia una bachelor degree nikajua utakuwa na akili timamu ndo mana sijakupigia simu mana najua unajua unachofanya , mwenyewe akapanda boda akaja, alivyokuja kabla ya kunipa mbusumbusu nikapewa mahitaji ya kama 350k ila bahati nzuri hakutaka nimpe hapo hapo, ikabidi nikubali tu ili nipewe mbususu kwanza, nikapewa kiroho safi alivyoondoka nika m block kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…