Kama huna hela usiombe namba

Katika maisha yangu hakuna kitu nachukia kama kumuomba mwanamke namba. Mimi napogoma nae tu akinitolea nje basi. Kuna siku nilipanda bajaj na demu mmoja mkali sana nikaona mara anatoa simu mara achezea hakuna la maana alilokuwa anafanya na hiyo simu. Nikajua huyu anadhani nitaomba namba nikapiga kimya.
 
wachaaa
 
Ulifeli mkuu, mi demu nikimuona anashikashika simu bila mpangilio(mara aweke simu kwenye pochi mara aitoe), mara ajishike nywele , mara lips, mara kama ana-adjust nguo aliyovaa,mara kama ananiangalia alafu anapotezea najua kajaa nikitupa wavu hachomoi ....

Ukijua kusoma body language mchezo kwisha....
 
Hii kali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna huyo kafanya juu chini kajileta kwangu nikawa namchora tu na Mimi Wala sikua res ......akatengeneza mazingira ya ukaribu namchora tu ...... akatengeneza mazingira ya kubadilishana namba Mimi fresh tu.....kajitengenezesha mazingira ya kupigiana Simu hasa video call akiwa kitandani na mikao ya ajabuajabu Wala sikua na hiyana.

Akaja kujistukia yeye ndio anamiliki asilimia kibwa ya kunitafuta Kama ball position Ni 90% kwa 10% [emoji3][emoji3] akakaa kimya kunivutia Kasi aone Kama nimejaa au bado .

Basi baada ya ukimya Kama wa wiki mbili hivi nikatafutwa na lawama kibao nikajitetea kazi zinabana basi yakaisha gafla bin vuuu picha tamu akiwa uchi hizooo nakaribishwa kuoga.[emoji39][emoji39][emoji39] Nikamjibu nimeoga asubuhi labda siku nyingine .....nikajibiwa we limwanaume unaroho ngumu Sana. Ukimya ukapita

Kesho yake ikaingia message ...baby nikuombe kitu ....? Nikajibu yes ..! Ooooh naomba unikopeshe 65k mwenzio biashara imeleta hasara sijui nini nini [emoji23][emoji23]
Nikamjibu Mimi hapa sipo vizuri pesa yote nimeweka kwenye mzigo ila kuna jamaa yangu naweza kukuunganisha naye akakusaidia nahisi hapo nitakua nimekusaidia kiivo Kama upo tayari.


Akajibu usije ukaniuza ....nikacheka nikasema maamuzi yako ndio yatakayo pelekea kununuliwa ....

Basi kiume nikamtafuta mchizi mwenye uhaba wa pisi nikamlengasha ila key point nikamwambia usilegeze jifanye unataka kufahamiana nae Kwanza na first appointment mualike dinner basi jamaa akafanya hivyo wakalana huko akamtoa 70 ila Cha ajabu ninavyo ongea hapa penzi lao limekolea ile mbaya hadi Mimi naonekana boya tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimechekaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Basi akikuomba na hela usiwe unamsema vibaya
 
N pm nione picha zake n oshe tumacho boss.
 
Siku izi ktk social networks mfano Badoo, n.k ata usipoomba namba atatafuta namna ya kuku bomu tu ....wana gear moja ana jifanya anadaiwa hela ya mchezo (upatu) ukituma tu tayari umeenda na maji
 
haa ha ha.. daah noma sana hii
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Kuhonga nako ni kipaji. Kuna watu wanakipaji cha kuhonga. Mi kipaji changu ni kupiga machine. Mungu hawezi kukupa vyote
Kadanganye wengine,,we mhongaji sana,ukienda gest hulipi?,chakula humnunulii,vinywaji je.nauli je.uongo peleka huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sipendi sana kuombwa hela...Yan sipendi kabisa kutoka moyon 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…