Si mchezo mi nilikutana na mmoja nikaomba namba, siku hiyo hiyo nikaombwa 12k, siku ya pili yake nikaombwa 8k na siku ya tatu 5k, ila zote nilimpa bila kinyongo, akapanga mwenyewe siku ya kuja kunipa mbusumbusu, siku ilivyo wadia akaingia mitini nami wala siku mtafuta, mwenyewe baada ya siku mbili akapiga simu analalamika sina mpango nae kwanini siku ile hakutokea lakini hata sikumpigia simu kumlalamikia, mi nikamwambia we ulivyonambia una bachelor degree nikajua utakuwa na akili timamu ndo mana sijakupigia simu mana najua unajua unachofanya , mwenyewe akapanda boda akaja, alivyokuja kabla ya kunipa mbusumbusu nikapewa mahitaji ya kama 350k ila bahati nzuri hakutaka nimpe hapo hapo, ikabidi nikubali tu ili nipewe mbususu kwanza, nikapewa kiroho safi alivyoondoka nika m block kila mahali