Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuuUngejua wenye hela ndio wagumu kuhonga kuliko sisi maskini.. sisi maskini ndio tunawabeba wanawake sana kwa vi hela vyetu viduchu
Wanawake wanalijua hilo.. kumpata tajiri muhongaji sio kazi ndogo..
Matajiri ama wenye hela waliotafuta wenyewe ni wabahili sana. Maana wanaheshimu hela...
Wanaombaje vocha wakati halotel wanatoa dakika 100Yamenikuta mimi haya mademu wa kali wote nimetonhoza mwezi huu na wanakubali hilo halina shida tatizo pesaaaa wanaanza na true love hawaombi vocha wanapiga wenyewe usiku mnaongea ila ukiomba tuu game hapo ndo balaaa....nina mengi nimejifunza tutafte pesa wanawake wazuri wote wapo single na hawakatai aiseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umebetia nyapu.Mkuu hapana aiseee.. Nimetokwa kupigwa zinga la 50K kikoba hapo hata chupi sijaona.. Nikaona sasa Mungu anaaamua kuninyoosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ni kweli.Baada ya kula tunda kimasikhara tuhamia hapa sasa[emoji23][emoji23][emoji23] ni nacho jua mwanaume ukiwa smart na una pesa aisee utawala sana mademu yaani hata usipo wa honga wanakujaga wenyeweeee***** kuna jamaa yangu alinifinyia hili pande nika daka. [emoji2958]
Ndio umegundua leoAisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap..!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki Njia kuu kwa kweli.
Ukiona mwanaume malaya jua ana Helaaa. Ukiona mwanaume anajida katulia na mmoja huyo Maskini mwenzetu yani.
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Alishazoea Kula kimasihara haya atayagundulia wapiNdio umegundua leo
Ni kweli kabisa unachokisema, wanawake huwa wanawashobokea wakitegemea watapata pesa na kuishiwa kuliwa bure. Wanachofaidigi ni misosi tu na vyakula wakatai wa kumeet.Ungejua wenye hela ndio wagumu kuhonga kuliko sisi maskini.. sisi maskini ndio tunawabeba wanawake sana kwa vi hela vyetu viduchu
Wanawake wanalijua hilo.. kumpata tajiri muhongaji sio kazi ndogo..
Matajiri ama wenye hela waliotafuta wenyewe ni wabahili sana. Maana wanaheshimu hela...