Kama huna pesa baki geto, niko bar nakula raha siwazi ya kesho.../
Huna pesa ni haki yako kutoswa, mademu wanataka pesa kwa maneno unajichosha.../
Utu hupimwa kwa kipande cha sarafu, kama huna hela hata uoge utaonekana mchafu.../
Maskini huna haki kwenye court, utaenda jela kwa kuuziwa kesi na mwenye noti.../