Upo na mpenzi wako mnayependana, mnaaminiana, dhaminiana, mmezoena, na kuheshimiana sana....! Siku moja mkaamua kutoka out mbali kidogo hadi ufukweni...! Kule mnakula maisha matamu ya hali ya juu...! Lakini ghafla, mpenzio akiwa na sura ya kimahaba, lakini yenye mtego wa aina fulani akakuambia hivi; "nitukane"....! Je, kama hutaki kunyima mpenzi wako kila anachokitaka, utampa tusi gani?
Nawasilisha...