Kama husema Kofi la mpenzi haliumi, Je, ukiombwa utatoa?

Konakali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
1,533
Reaction score
266
Upo na mpenzi wako mnayependana, mnaaminiana, dhaminiana, mmezoena, na kuheshimiana sana....! Siku moja mkaamua kutoka out mbali kidogo hadi ufukweni...! Kule mnakula maisha matamu ya hali ya juu...! Lakini ghafla, mpenzio akiwa na sura ya kimahaba, lakini yenye mtego wa aina fulani akakuambia hivi; "nitukane"....! Je, kama hutaki kunyima mpenzi wako kila anachokitaka, utampa tusi gani?
Nawasilisha...
 
ila sijui ulikuwa unawza wapi mpaka ukaja na hii sredi, nimecheka sana
 
Mjibu, ashindwe na alegee pia kemea huyo pepo wa matusi amtoke.
 
Upo na mpenzi wako mnayependana, mnaaminiana, dhaminiana, mmezoena, na kuheshimiana sana....! Siku moja mkaamua kutoka out mbali kidogo hadi ufukweni...! Kule mnakula maisha matamu ya hali ya juu...! Lakini ghafla, mpenzio akiwa na sura ya kimahaba, lakini yenye mtego wa aina fulani akakuambia hivi; "nitukane"....! Je, kama hutaki kunyima mpenzi wako kila anachokitaka, utampa tusi gani?
Nawasilisha...

Kaazi kweli kweli....
 
Kataka mwenyewe,MAL*YA MKUBWA ilinimwone atafanyaje.
 
nyooo manina zako,lol
ila hii mada imenifurahisha sana,usikute unatutafutia ban za nje nje :happy:
 
''Silence'' inaweza ikawa tusi kubwa kuliko kutukana kama anavyotaka.....
 
Back
Top Bottom